Je, kutumia sex toys kujichua ni cheating kwa mpenzio?

Kutumia sex toys, kupiga punyeto, kutazama porn ni mambo binafsi ya kufanya ukiwa peke yako sawa tu na kunya, nani hajui kuwa watu wanakunya

Kila mtu duniani anakunya ila is non of our business, ndio sawa na sex toys mtu kama anatumia hiyo ni ishu yake binafsi
 
Huu uzi bila picha ni sawa na makande kuwekwa mayonnaise
 
Aliyekutenda inabidi ukamalizane nae. Kakufanya uko na chuki kuu kuhusu wanawake kiasi kwamba kila tatizo lako unaona wao ndio wasababishi.
 
Issue ya usaliti inategemea Nani kamkuta mwenzake... Kwa mfano;kama mwenza wako alikuwa na tabia ya kujichua kabla ya mahusiano yenu, basi jua yeye kweli ameisaliti hiyo michuo kwako kwa maana hiyo wewe ndio mchepuko...
 
Ujumbe umekaa kitaribani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…