Je kuvaa uniform za kubana kwa jeshi la polisi inaruhusiwa?

Mbona anatembea karegea hivyo huyu alipitia kwenye Mafunzo ya utimamu wa mwili? Au Aliingia kwa kimemo tu?
Hiyo ilikuwaga zamani.

Siku hizi ukiwa na connection hakuna kinachoshindikana, unakuta nyie mnahenyeshwa wakati huo huo Kuna mwenzenu katulia zake dormitory na siku ya mwisho nyote mnahitimu
 
Sio dormitory tu mkuu, mwingine Yuko nyumbani kabisaa.
 
Hiyo ilikuwaga zamani.

Siku hizi ukiwa na connection hakuna kinachoshindikana, unakuta nyie mnahenyeshwa wakati huo huo Kuna mwenzenu katulia zake dormitory na siku ya mwisho nyote mnahitimu
Hamna kitu kama hiko. Kuna probability ya kupunguziwa doso au mrembo kuruhusiwa kuuumwa umwa ili adoji kidogo lakini sio mtu kutulia dormitory kinoma noma. Kama kutega hata wanaume wanatega timing yako tu. Also acha kupotosha.
 
Hao ndo wanakuaga Watamu, unawakunja vzr na wanakunjika wanaacha kirungu pembeni 😎
 
Back
Top Bottom