Shida Yako unaangalia nyuma,kwamba ni dhambi Kwa poti kunenepa au? 😂😂View attachment 3441037
Nimeshangaa baada ya kuona video ya huyu afande akivaa uniform uliyombana.
Msijaribu. Mtapewa kesi zisizo na dhamana. Hao wana kampuni imewaajiri. Ina watu wana roho ngumu sana.
Nao wao ni binadamu jamani, wanatafuta madanga. Mishahara ya Samia haitoshi.View attachment 3441037
Nimeshangaa baada ya kuona video ya huyu afande akivaa uniform uliyombana.
Huna kazi ya kufanya we fala?View attachment 3441037
Nimeshangaa baada ya kuona video ya huyu afande akivaa uniform uliyombana.
Mambo ya connection hayo, hatari sanaNina uhakika hata Suma JKT hajapita huyo
Biashara matangazoView attachment 3441037
Nimeshangaa baada ya kuona video ya huyu afande akivaa uniform uliyombana.
Mapolisi wakikosa kazi za kufanya ndio mambo yao hayoHuna kazi ya kufanya we fala?
Polisi wa hivi ni wazuri kwenye kazi za kipeleleziSasa si wakike, lazima awe na mwendo wa madaha
Alitaka atembee kama muliro😂Sasa si wakike, lazima awe na mwendo wa madaha
Labda anasikia upweke maana watu huwa wanaogopa kuwatongoza mapolisiDuuuuh, huyu mtoto anatutega wahalifu Makusudi.
Hivi kuumwa inabidi upewe ruhusa " kwamba naomba ruhusa ya kuumwa"😁Hamna kitu kama hiko. Kuna probability ya kupunguziwa doso au mrembo kuruhusiwa kuuumwa umwa ili adoji kidogo lakini sio mtu kutulia dormitory kinoma noma. Kama kutega hata wanaume wanatega timing yako tu. Also acha kupotosha.
Si kaongeza mishahara kuanzia July😁😁Nao wao ni binadamu jamani, wanatafuta madanga. Mishahara ya Samia haitoshi.
Ule mwendo wa mazoezi kabisa mdauMkuu unataka wavae mabwanga? Wewe furahia uumbaji mengine waachie wenyewe si unaona kalivyokuwa hakachoshi kukatazama.