Je, kuwa na dini ni miongoni mwa vigezo vya kuwa kiongozi hapa nchini? Kwanini?

Je, kuwa na dini ni miongoni mwa vigezo vya kuwa kiongozi hapa nchini? Kwanini?

ASIWAJU

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
1,938
Reaction score
1,632
SWALI:
Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF.

Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinachotumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa?

Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k

Karibuni kwa majawabu yenu member wote wa JF.
 
Kumbuka baba wa taifa alisema, ambae hana dini hata asiyeamini uwepo wa Mungu atatumia katiba kuapa.
 
SWALI:
Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF.

Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinacho tumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa?

Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k

Karibuni kwa majawabu yenu member wote wa JF.
Licha ya kuwa haitajwi Hii ni nchi
ya kifrimason, kiongozì mkuu lazima awe na dini
 
Kwa maana ukiapa na kitabu chako kitakatifu ushajiweka kitanzi nandio uaminifu tosha kwao nandio system iliyowekwa
Kwani uki apa kwa katiba hauji wekei kitanzi kutokana na sheria za nchi zinavyo sema kupitia katiba hiyo hiyo ?
 
Kingunge Ngombale Mwiru alikuwa pagan ingawa mwisho mwisho alijiita Catholic
 
Back
Top Bottom