Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sio lazima kuwa dini maana nchi yetu sio ya kidini na tushawahi kuwa na viongozi wasiokua na dini mfano kingunge. Ila viongozi wengi wanajifungamanisha tu dini wakijua population kubwa ni waumini wa dini na bado Afrika tunawachakulia atheists kama watu wabaya au mashetani fulani hiviSWALI:
Ningependa kuuliza swali hili swali kwa wanachama wote wa hapa JF.
Je, suala mtu kuwa na dini huwa pia ni kigezo kinacho tumika kwa mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika hili taifa?
Mfano wa hizo nafasi za uongozi ni Urais, Umakamu wa Rais, Uwaziri, Uspika, Unaibu waziri n.k
Karibuni kwa majawabu yenu member wote wa JF.