ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,787 Reaction score 131,638 Jul 6, 2025 #41 Kuzaa au kutokuzaa ni makubaliano ya wawili. Mnaweza kuoana na kuamua kutokuwa na watoto, ni maamuzi ya wawili.
Kuzaa au kutokuzaa ni makubaliano ya wawili. Mnaweza kuoana na kuamua kutokuwa na watoto, ni maamuzi ya wawili.