Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Acha kututisha mkuu......tunaenda kupindua meza
 
[emoji23][emoji23]
 
Lakin ukumbuke namungo kamfunga de agost kwa fitina ikumbuke key players 6 wa de Agosto + kocha walukuwa karanti na hata walivyorud kma sikosei namungo walifungwa na de Agosto 2-0
Sio fitina mkuu....zile Ni kanuni za afya.....lzma zizingatiwe
 
Kli tujue kama wamepiga bomu mochwari basi Tukamtume Engineer akawaombe friend match iwe pale November 11 stadio hapo sasa ndio tutapata jibu
Mkuu Sasa unadhani yanga watashindwa kupiga 7__0
 
Teh teh ....tunaenda kupindua meza kama kawaida yetu
 
Zalan mechi zao zote walichezea hapa hapa bongo aggregate ikawa 9-0, kwa nn msiwaombe hilal nao tumalizane bongo hapa hapa ili kupiga aggregate ya 10-1 maana refa atakuwa ni arajiga
Nawaambia Kule Khartoum hakuna rangi mtaacha kuona
Daaaaah naskia wamegoma hata kuonyesha mechi
 
Sema combination ya phiri na chama.....inatisha
 
Yanga endeleeni kujifariji na utopolo wenu!
Mmeshakamatwa! Mlimtoa mtu kwa ushindi wa 9-0, lakini hapohapo mkashindwa kumfunga Al Hilal hata kwa ushindi 1-0, badala ya kuganga na hali zenu taabani mmeanza kuangaika na Simba!
Weka akiba ya maneno mkuu......lazima tukawatoe kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…