Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Huko mechi haichezeshwi na Ahmedy Arajiga

Hakuna mazari ya goal corner wala striker wenu kushika afu penati mpewe nyinyi

Mnakibarua kizito sana labda tu kwasbabu uwanjani hauchezi wewe ila wachezaji wanaona shurba wanayoenda kuipata

Round hii Diarra avae gloves tatu tatu kila mkono kuepusha michubuko inayoweza kujitokeza au muwaombe CAF wawape ruhusa wakae wawili golini pamoja na Mshery
Acha kututisha mkuu......tunaenda kupindua meza
 
Al Hilal mlisema kwenu ni underdog na mkaseti na ratiba za kutembelea vituo vya habari kufanya midahalo

Nilimsikia Ally Kamwe "eti Hersi amewekeza pesa nyingi kuzidi Al Hilal"

Ali Kamwe sijui nani alimdanganya kuwa Boss anafurahishwa kwa kuongea maneno ya kipambe?

Eti ooh si tunamaliza mechi hapa hapa afu kule tunaenda kupanda ngamia?

Haya sasa mshatoa sare ya moja moja, sa hapo sijui kimahesabu bado mtaenda kupanda ngamia au ngajero?
[emoji23][emoji23]
 
Lakin ukumbuke namungo kamfunga de agost kwa fitina ikumbuke key players 6 wa de Agosto + kocha walukuwa karanti na hata walivyorud kma sikosei namungo walifungwa na de Agosto 2-0
Sio fitina mkuu....zile Ni kanuni za afya.....lzma zizingatiwe
 
Kli tujue kama wamepiga bomu mochwari basi Tukamtume Engineer akawaombe friend match iwe pale November 11 stadio hapo sasa ndio tutapata jibu
Mkuu Sasa unadhani yanga watashindwa kupiga 7__0
 
Tatizo lenu wabongo bongolala mpira hamuujui kazi majungu,

1. Baada ya mechi ya simba na kedus georgis mlisemaje?

2. Baada ya mechi ya big bullets na simaba (away) mlisemaje?

3. Baada ya mechi ya alhilal na simba mlisemaje?

4. Na baada ya mechi dhidi ya hawa agosto (away) mnasemaje?

Majibu yenu yote niyaleyalegeorgis waimba kwaya, alhilal vibonge, bullets vibonde, de agosto moertuary lakin interesting fact ni kwamba kabla ya simba day mlisema simba atafungwa, baadae wakawa waimba kwaya, baada ya mech ya awya ya bullets mkaleta swaga za jwaneng, sasa mnaimba pambio la mortuary.

Kwanza jipongezen kwa kuweka rekod ya aggregate ya 9-0 CAFCL mliyoipata dhidi ya wababe Zalan kisha jitutumueni kushinda mbele ya Al hilal mkiwa away ili kuthibitisha uwekezaje wenu wa midomoni badala ya uwanjan

Mwisho kabisa nampongeza aliyemuona phiri kwa mara ya kwanza na kuanzisha harakat za kumsajili maana ukisikia simba ana mechi bas kabla ya mechi kuanza phiri ana goli moja
Teh teh ....tunaenda kupindua meza kama kawaida yetu
 
Zalan mechi zao zote walichezea hapa hapa bongo aggregate ikawa 9-0, kwa nn msiwaombe hilal nao tumalizane bongo hapa hapa ili kupiga aggregate ya 10-1 maana refa atakuwa ni arajiga
Nawaambia Kule Khartoum hakuna rangi mtaacha kuona
Daaaaah naskia wamegoma hata kuonyesha mechi
 
Kiukweli huku Zambia watu wamefarijika sana kwa Simba kuifunga Agosto, Timu ambayo Red Arrows ilishindwa kuutafuna huu mfupa.

Faraja zaidi tumeipata baada ya kuona Wazambia Moses Phiri (MP) na Chama ndio walioongoza kulipa kisasi cha Red Arrows kutolewa na Timu kali ya Agosto
Sema combination ya phiri na chama.....inatisha
 
Yanga endeleeni kujifariji na utopolo wenu!
Mmeshakamatwa! Mlimtoa mtu kwa ushindi wa 9-0, lakini hapohapo mkashindwa kumfunga Al Hilal hata kwa ushindi 1-0, badala ya kuganga na hali zenu taabani mmeanza kuangaika na Simba!
Weka akiba ya maneno mkuu......lazima tukawatoe kwao
 
Back
Top Bottom