Ulisomea chuo gani kaka.Hapana mkuu.....nna degree ya football analysis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisomea chuo gani kaka.Hapana mkuu.....nna degree ya football analysis
Labda meza ya wanzukiSudani meza inaenda kupinduliwa
Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.
Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2
Simba 3 - Agosto 1
Cross multiplication
Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Yani ukimtoa Jakaya na babaake mzungu pori.Halafu wachezaji wao muhimu 9 walikutwa na Covid wakati huo.
Hao utopolo a.k.a mavi kwenye chupi hawawezi kukwambia hata huyo Al Hilal alipigwa na mnyama goli 4-1.
Hata hivyo ni kwa vile hawana kumbukumbu watu wenyewe hawana akili,kama wanazo ni za manyani tu
Ooh Al Hilal ni timu inayojitafuta sisi tupo vizuri na tutampiga kama ngoma, sasa hivi mnatafuta pakuhemea.
Mlivyowapiga wale wawekezaji wa Kalynda Zalan FC, basi mkajiona mataita subirini hapo Sudan mkanuswe kinyeo vizuri
Kwani Aziza Ki anasemaje?Binafsi kwa maono ya kiuchambuzi ...naona MAKOLo wamepiga bomu kaburini ....badala ya mochwari...
Wazee wa kusolve equations wanaelewa [emoji23][emoji23]View attachment 2382603
Huko mechi haichezeshwi na Ahmedy ArajigaBinafsi kwa maono ya kiuchambuzi ...naona MAKOLo wamepiga bomu kaburini ....badala ya mochwari...
Wazee wa kusolve equations wanaelewa [emoji23][emoji23]View attachment 2382603
Wajulikane wapi na kwa kipi?Vipi kuhusu al hilal? nae kapangiwa vibonde uto? maana hapa sudan mashabiki wa al merreck wanawakejeli al hilal wametoa dro na kibonde! tena wanaenda mbali zaidi kwa kusema tz kuna timu 1 tu inayojulikana na kwamba kama wangekutana na hiyo timu basi wangekua wanajiandaa kumfukuza ibenge! eti jamani sie utomax ni hatujulikan?
Al Hilal mlisema kwenu ni underdog na mkaseti na ratiba za kutembelea vituo vya habari kufanya midahalo
Lakin ukumbuke namungo kamfunga de agost kwa fitina ikumbuke key players 6 wa de Agosto + kocha walukuwa karanti na hata walivyorud kma sikosei namungo walifungwa na de Agosto 2-0
Baada ya mechi Ally Kamwe anafosi kuweka tabasamu la kaucheshi fulani hivi wa kuzugia na unyonge kwa mbaliOoh Al Hilal ni timu inayojitafuta sisi tupo vizuri na tutampiga kama ngoma, sasa hivi mnatafuta pakuhemea.
Mlivyowapiga wale wawekezaji wa Kalynda Zalan FC, basi mkajiona mataita subirini hapo Sudan mkanuswe kinyeo vizuri
Baki na siasa mpira umekukataaSimba imeonyesha ilivyo dhaifu.
Kli tujue kama wamepiga bomu mochwari basi Tukamtume Engineer akawaombe friend match iwe pale November 11 stadio hapo sasa ndio tutapata jibuUchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.
Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2
Simba 3 - Agosto 1
Cross multiplication
Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Hehehe kaka unataka wasiende Sudani aisee [emoji23][emoji23]Huko mechi haichezeshwi na Ahmedy Arajiga
Hakuna mazari ya goal corner wala striker wenu kushika afu penati mpewe nyinyi
Mnakibarua kizito sana labda tu kwasbabu uwanjani hauchezi wewe ila wachezaji wanaona shurba wanayoenda kuipata
Round hii Diarra avae gloves tatu tatu kila mkono kuepusha michubuko inayoweza kujitokeza au muwaombe CAF wakae wawili golini pamoja na Mshery
Hapana mkuu mpira sio Vita tusifike huko [emoji23][emoji23]
Hapo sawa! utani wa mpira tutaniane tu! ila mkianza matusi hakuna atakae kubali kukaa kmya.Hapana mkuu mpira sio Vita tusifike huko [emoji23][emoji23]
Ngoja wao waende wakiwa wamekamilika sasa....🤪🤪Tulipigwa goli moja pale kwao mechi ya kirafiki. Namba sita alikua Peter Banda na Golini alikua kipa namba 3, wachezaji tisa wapo timu ya Taifa. Na uwanjani walikua wamejaa wao tu ila game haikutuelemea kama iliyokua kwenu.
Mara ya mwisho tulipocheza nao tukiwa kamili walikufa 4-1 kwa Mkapa
Hahahaha ina wanaweza kupindua meza ila tatizo ni kua Waarabu wanatumia mkeka na sio meza.Ngoja wao waende wakiwa wamekamilika sasa....🤪🤪