Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #41
Huu Ni uchambuzi mzee....Swa
Sasa mechi ya pili haijachezwa then una draw conclusion kwa reference ya Namungo? Typical foolishness. Namungo alishinda hizo goli sita akiwa wapi chamazi. Pili alishinda jumla ya magoli 6 kwa mechi zote mbili au moja, wewe ni mtabiri au ? Unajua matokeo ya mechi ya pili?
Simba ameshinda goli tatu akiwa Angola na sio chamazi. Pili mbona Al hilal alifungwa goli nne na Simba akiwa taifa na yanga ameshindwa?
You see how stupid you are.