Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?

Halafu wachezaji wao muhimu 9 walikutwa na Covid wakati huo.

Hao utopolo a.k.a mavi kwenye chupi hawawezi kukwambia hata huyo Al Hilal alipigwa na mnyama goli 4-1.
Hata hivyo ni kwa vile hawana kumbukumbu watu wenyewe hawana akili,kama wanazo ni za manyani tu
Kipofu anapoona Mwezi.
 
Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;

Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.

Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2

Simba 3 - Agosto 1

Cross multiplication

Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Hata wajinga huzeeka pia. Kwa hiyo sio kila mzee ana busara.

Kwa hiyo AL Hilal alipigwa 4 kwa 1 na Simba kwa Mkapa unahitimisha Yanga wametoa droo na underdog kwa vile Yanga alomfunga Simba aliyemfunga Al Hilal.

Subiri kichapo Sudan na mtajifariji sana.
 
Vipi na hawa?
IMG-20221010-WA0004.jpg
 
Ooh Al Hilal ni timu inayojitafuta sisi tupo vizuri na tutampiga kama ngoma, sasa hivi mnatafuta pakuhemea.

Mlivyowapiga wale wawekezaji wa Kalynda Zalan FC, basi mkajiona mataita subirini hapo Sudan mkanuswe kinyeo vizuri
Mkuu....unadhani Simba mngeweza kufunga hio timu...
 
Vipi kuhusu al hilal? nae kapangiwa vibonde uto? maana hapa sudan mashabiki wa al merreck wanawakejeli al hilal wametoa dro na kibonde! tena wanaenda mbali zaidi kwa kusema tz kuna timu 1 tu inayojulikana na kwamba kama wangekutana na hiyo timu basi wangekua wanajiandaa kumfukuza ibenge! eti jamani sie utomax ni hatujulikan?
Cheki kenge huyu
 
Mkuu....unadhani Simba mngeweza kufunga hio timu...
Tulipigwa goli moja pale kwao mechi ya kirafiki. Namba sita alikua Peter Banda na Golini alikua kipa namba 3, wachezaji tisa wapo timu ya Taifa. Na uwanjani walikua wamejaa wao tu ila game haikutuelemea kama iliyokua kwenu.

Mara ya mwisho tulipocheza nao tukiwa kamili walikufa 4-1 kwa Mkapa
 
Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;

Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.

Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2

Simba 3 - Agosto 1

Cross multiplication

Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Una dalili zote za kuwa kigagula hapo mtaani.
 
Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;

Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.

Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2

Simba 3 - Agosto 1

Cross multiplication

Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Wamepiga bomu chooni mkuu ndio maana harufu imefika mpaka jangwani. Btw hongereni sana aisee mlipewa moja ya timu ngumu sana barani Afrika katika mzunguko wa kwanza, Zalan FC na mkatutoa watanzania kimasomaso kwa kuitoa timu ngumu sana na tishio hatua za awali
 
Mkuu....unadhani Simba mngeweza kufunga hio timu...
Kwahiyo Al Hilal ni team ngumu ? Vipi sasa zile kauli zenu za kusema mtawapiga kama ngoma si chini ya goli tatu?[emoji23]

Waliwaset kwenye mtego wa kujifanya wamefungwa na academy ya Mazembe 3-0 , mkaingia uwanjana mkiwa na mindset HILAL ni vibonde.

Hii ligi inahitaji mbinu sana mzee, atleast mmeanza kutambua kuwa Hilal si level zenu.
 
Back
Top Bottom