Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kipofu anapoona Mwezi.Halafu wachezaji wao muhimu 9 walikutwa na Covid wakati huo.
Hao utopolo a.k.a mavi kwenye chupi hawawezi kukwambia hata huyo Al Hilal alipigwa na mnyama goli 4-1.
Hata hivyo ni kwa vile hawana kumbukumbu watu wenyewe hawana akili,kama wanazo ni za manyani tu