Clotus Chama ameomba msamaha kwa kuandika barua. Isitoshe mkataba wake unaisha mwisho wa msimu, kwa nini club iingie hasara ya kumfidia kuvunja mkataba??
Soma wewe na kuelewa, mimi ndiyo niliyeandikaSoma ulichoandika utagundua kwamba conclusion yako ni mbovu
Hivi ni timu ndio inabidi imlipe hata kama yeye alitaka kuvunja mkataba?Clotus Chama ameomba msamaha kwa kuandika barua. Isitoshe mkataba wake unaisha mwisho wa msimu, kwa nini club iingie hasara ya kumfidia kuvunja mkataba??
Irekebishe basiSoma ulichoandika utagundua kwamba conclusion yako ni mbovu
Kiukweli Simba Kwa Chama ni mtotoClotus Chama ameomba msamaha kwa kuandika barua. Isitoshe mkataba wake unaisha mwisho wa msimu, kwa nini club iingie hasara ya kumfidia kuvunja mkataba??
Hapana mkuu..Sisi yanga kwa kweli tulitamani Chama aachwe. Imetuumiza sana kubakizwa.
[emoji1][emoji1]Mkataba uishe wamuache aende zake inatoshaa....kila siku chamaa chamaa
Kamuandikia nani barua? Weka hiyo barua hapa tuione basi. Simba ndio imemuomba msamaha Chama.Clotus Chama ameomba msamaha kwa kuandika barua. Isitoshe mkataba wake unaisha mwisho wa msimu, kwa nini club iingie hasara ya kumfidia kuvunja mkataba??
That's what happening to Simba[emoji1]I can't live without you" mapenzi ya form I
Nani Tena mkuuWe utakuwa chawa wa yule anayesifiwa Taifa stars ikishinda, bado una uchungu na Kona aliyopiga.
[emoji1][emoji1]Conclusion; Chama ni mkubwa kuliko mbumbumbu fc.