mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Waliomsamehe Chama ni Simba wanaoumia Chama kusamehewa ni utopolo .Nini siri gani iliyopo Kati ya Chama na utopolo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyani wa Luc Eymael wanatamani simba iachane na Chama.Conclusion; Chama ni mkubwa kuliko mbumbumbu fc.
Manzi akikutawala....jua hata mzigo hakupiNdio ili uendelee kumkojolea sehemu pazuri, kwani wewe ulitaka kusemaje? Ukaze shingo alafu usikojolee sehemu pazuri au? Manzi mzuri akitawala atatawala tu unamuacha atawale Ila kuna angle atajaa na wewe utamtawala unajichukulia point 3 za ujazo kunja minyaminya sana suguliasugulia sana kisha mwagia kwa ndani
Wanaachwa kisa nidhamuUwa wanawaacha wachezaji wao kihuni sana ili wasisajiliwe na Simba, wanawaacha mwishoni kabisa mwa dirisha la usajili kwa kuwachelewesha kuwavunjia mkataba
Ni waoga
Daah fei alikuwa yupo kwenye peak ya kiwango Bora ...bado timu ilikuwa inamuhitajiMbona hamkumpiga chini fei? Mkasababisha hadi MAZA akaingilia
Mzigo lazima anipe
🚮Usibishane na wenye akili moja...
Basi ujue hajakutawala[emoji23]Mzigo lazima anipe
Hata akitawala mzigo lazima nimle tu
Hapana mkuu....hakuna mtu anachukia mafanikio ya mwingineYaani yanga fc huwa wanaumia na kila kitu afanyacho simba??ilianza juz kati kapigwa singida akaumia yanga,kwenye mkutano mkuu wa simba bado akaumia yanga,na hili la chama na simba kumaliza utata anaumia yanga..Jamani yanga kwanini mnajipaga mateso yasiyo lazima?
Ndo hivyo wanampigia gotiChama ni Mkubwa kuliko Mandunduka yote, hastahili kuchezea MAKOLO FC
mkubwa chama[emoji599]HAPO KWANZA NCHEKE[emoji23]
Inawezekana simba ndio waliomuomba msamaha Chama (hii ni sawa una manzi mkali sana anakutawala, hata akifanya kosa wewe ndiye uta apologize [emoji22]).
Benchika alisema hawezi kubali Chama kurudi kwa vile amemvimbia na hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu na Simba walipiga biti kali, ambapo ilionekana Chama na Kapama lazima wang'oke lakini jana kinyonge sana wametangaza wamemsamehe Chama!
Je, nikweli Chama ni mfupa mgumu kwa Simba?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app