Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Hili suala limenikera sana ....Yange yange Fc...gongowazi hamuamini macho yenu...na kwa umbea huu mbaba unafanya kazi muda gani ya kuingiza kipato...au una mshangazi ww umetanua tuu miguu kwny kochi unapost kila muda ishu za Simba... [emoji23] [emoji23]
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app