Je, kwa hili Simba na Clotus Chama nani mkubwa?

Je, kwa hili Simba na Clotus Chama nani mkubwa?

Waliomsamehe Chama ni Simba wanaoumia Chama kusamehewa ni utopolo .Nini siri gani iliyopo Kati ya Chama na utopolo?
 
Ndio ili uendelee kumkojolea sehemu pazuri, kwani wewe ulitaka kusemaje? Ukaze shingo alafu usikojolee sehemu pazuri au? Manzi mzuri akitawala atatawala tu unamuacha atawale Ila kuna angle atajaa na wewe utamtawala unajichukulia point 3 za ujazo kunja minyaminya sana suguliasugulia sana kisha mwagia kwa ndani
Manzi akikutawala....jua hata mzigo hakupi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yaani yanga fc huwa wanaumia na kila kitu afanyacho simba??ilianza juz kati kapigwa singida akaumia yanga,kwenye mkutano mkuu wa simba bado akaumia yanga,na hili la chama na simba kumaliza utata anaumia yanga..Jamani yanga kwanini mnajipaga mateso yasiyo lazima?
 
Chama ni Mkubwa kuliko Mandunduka yote, hastahili kuchezea MAKOLO FC
 
Hapa mwanaspoti wana maanisha nini?
1706701034523.jpg
 
Yaani yanga fc huwa wanaumia na kila kitu afanyacho simba??ilianza juz kati kapigwa singida akaumia yanga,kwenye mkutano mkuu wa simba bado akaumia yanga,na hili la chama na simba kumaliza utata anaumia yanga..Jamani yanga kwanini mnajipaga mateso yasiyo lazima?
Hapana mkuu....hakuna mtu anachukia mafanikio ya mwingine

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
[emoji599]HAPO KWANZA NCHEKE[emoji23]

Inawezekana simba ndio waliomuomba msamaha Chama (hii ni sawa una manzi mkali sana anakutawala, hata akifanya kosa wewe ndiye uta apologize [emoji22]).

Benchika alisema hawezi kubali Chama kurudi kwa vile amemvimbia na hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu na Simba walipiga biti kali, ambapo ilionekana Chama na Kapama lazima wang'oke lakini jana kinyonge sana wametangaza wamemsamehe Chama!

Je, nikweli Chama ni mfupa mgumu kwa Simba?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
mkubwa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom