Je, kwa hili Simba na Clotus Chama nani mkubwa?

Yange yange Fc...gongowazi hamuamini macho yenu...na kwa umbea huu mbaba unafanya kazi muda gani ya kuingiza kipato...au una mshangazi ww umetanua tuu miguu kwny kochi unapost kila muda ishu za Simba... [emoji23] [emoji23]
Hili suala limenikera sana ....

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Karne hii tunasameheana kwa barua si sheria na kanuni.
 
Ni Kweli Simba Ni mbuzi ,kondoo mbele ya chama clotaus
 
Kamuandikia nani barua? Weka hiyo barua hapa tuione basi. Simba ndio imemuomba msamaha Chama.
Watu tunafahamu habari ya Chama kuomba msamaha tangu wiki mbili zilizopita,nyie kaeni na uvivu wenu wa kufuatilia habari
Wewe Chura barua ya Simba ambayo ni internal unataka tuweke hapa wazi, hivi hiyo ni akili au UTOPOLO?
Una uhakika udadi ya wenye akili imeongezeka kutoka JK na baba yake Haji?
 
manzi mkali sana anakutawala, hata akifanya kosa wewe ndiye uta apologize
Ndio ili uendelee kumkojolea sehemu pazuri, kwani wewe ulitaka kusemaje? Ukaze shingo alafu usikojolee sehemu pazuri au? Manzi mzuri akitawala atatawala tu unamuacha atawale Ila kuna angle atajaa na wewe utamtawala unajichukulia point 3 za ujazo kunja minyaminya sana suguliasugulia sana kisha mwagia kwa ndani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee tapeli ty yanga waajiri machizi
Nitakupa hiyo tsh 100, 000 ukatolee mimba. Maana sasa naona tu una makasiriko. Mi sikutaka upate mimba lakini. Unaniona tapeli sababu tu ya tsh 100, 000 ya kutolea mimba? Najua unanitukana sana kwa watu. Its ok. Sitaki maneno na wewe.
 
Hapana mkuu..

Yanga Kwa nidhamu hawanaga masihara....

Fuatilia Kwa bangala .....Shaban ....saido waliwapiga chini wakiwa at the peak kisa nidhamu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Uwa wanawaacha wachezaji wao kihuni sana ili wasisajiliwe na Simba, wanawaacha mwishoni kabisa mwa dirisha la usajili kwa kuwachelewesha kuwavunjia mkataba

Ni waoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…