Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

Bongo toka uchaguzi mkuu uliopita uongozi ulishushwa hadhi na kuonekana kama ni kitu ambacho mtu yeyote anaweza kufanya.ule uzito wa dhamana ya uongozina hadhi yake ulipungua sana
💯% uko sahihi kabisa.
 
Watu wakikatwa kwa kukosa sifa mnalalamika kuwa demokrasia imesiginwa.
Wakiachwa mnalalamika pia uongozi unashushwa hadhi yake sasa mnataka nn wajameni??

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Ni Haki yake kwa Mujibu wa Katiba. Mengine nadhan shida inaanzia kwenye kiti baada ya Kiti kupoteza mvuto na mamlaka yake ivo kila mmoja anaona anaweza kukimudu kiti.
 
Yule mtani wako aliyefurushwa ameifanya hii nafasi ionekane ya Kawaida sana kila mtu anaweza kuiendesha.
 
Watu wa video chafu wana thamani kubwa sana CCM, mmoja kagombea usipika, mwingine mbunge jiji kubwa, wa tatu Mkuu wa wilaya Mji kasoro bahari.
 
Ukitambua kuwa alikuwa anatafuta attention nasi great thinker tukaingia kwny huo Mtego hadi tukamfungulia thread tambua jamaa kafanikiwa mpango wake
Hivi Kumjadili huyu Mpumbavu ambaye nahisi unafanana nae ndiyo Kufanikiwa Kwake na kumpa huko Kiki kama usemavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…