Je, kwa kurejeshwa kwa 'Team Msubi' Makazini ni ishara tosha kuwa 'Team Mkwere' sasa wameanza kushtukiwa na wanavunjwa Nguvu mapema?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je, na Sisi 'Team Tanzania Njema' akina GENTAMYCINE tutaanza kurudishwa lini ili tusaidie Tanzania yetu ambayo tunaanza kuiona ikizama kwa mambo mengi japo 'Team Tanzania tupo tupo tu' hawajui lolote na hawalioni hilo?
 
Nimeshangaa usingizi wa mkwere kuondolewa kirahisi vile
 
Back
Top Bottom