Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

Kwani haipo?
Kolo ana point 35 ambazo amezipata ndani ya miaka 5,hapo miaka 3 aliokoteza point ndani ya kipindi cha corona,Yanga kapata point 20 ndani ya msimu msimu mmoja na msimu huu tunapiga 20 zingine mtake msitake
 
Umeona kwa waalim hakulipi ?
Naipenda Simba Mshabiki wa Damu.
 
Hiyo Manara lazima aweke fitna babra asije maana anajua anaenda kufukuzwa kazi tena
 
Kolo ana point 35 ambazo amezipata ndani ya miaka 5,hapo miaka 3 aliokoteza point ndani ya kipindi cha corona,Yanga kapata point 20 ndani ya msimu msimu mmoja na msimu huu tunapiga 20 zingine mtake msitake
Points 20 ni uingie fainali Shirikisho, wewe sasa uko Klabu Bingwa na huwezi tena kuangukia Shirikisho.

Sasa kwenye klabu bingwa mwaka huu tulioko (current) kizidishio chake ni 5. Kwa hiyo ili uzipate hizi basi ufike hata nusu fainali yenye points 4 ili ikizidishwa kws 5 zifike 20.

Nusu fainali maana yake ni pale ambako Africa nzima na miamba yote kina Wydad, Al Ahly, Mamelody muwe mumebaki wanne tu ukiwemo wewe.

Nipo nimekaa pale.
 
Hawajui kuwa style yako ya uwasilishaji umeitengeneza mahsusi kujitenga na ID yako humu na maisha yako halisi nje ya JF, ili watu wasiweze kuku snoop😃
 
Kwa tabia zako hizi laiti ungekuwa mwanamke basi mmeo angegongewa sana mkewe.
 
Unapenda kudeka wewe mhutu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Simba inawatoa sana wana Yanga angalia hata sasa hivi mseamaji gani ana mvuto kati ya Ahmed Ally na Ali kamwe utagundua Ahmed
Ukiwa Simba kujibrand ni rahisi na watu wa Yanga wanalijua hilo that's why wanakuja kupata umaarufu huku then wanasepa
 
Senzo aliachwa lini na Simba? Hata Yanga hawajamuacha Senzo, usilazimishe nyeupe iwe kijivu.
 
Huna ulijualo usinipotezee muda Ok?
Hoja zinajibiwa kwa hoja na sio mihemko..

Tunajuwa kama wewe ulikuwa unaongoza kwa kufunguwa nyuzi za kumtukana babra wakati yupo Simba,,

Na sijuwi unajisikiaje kwa sasa ukisikia anakwenda Yanga..

Kweli mchawi hapati faraja akiona anayemchawia anazidi kufanikiwa..
 
Hawajui kuwa style yako ya uwasilishaji umeitengeneza mahsusi kujitenga na ID yako humu na maisha yako halisi nchi ya JF, ili watu wasiweze kuku snoop😃
Ni Wenye Akili Kubwa wachache kama Wewe hapa JamiiForums ndiyo mnalijua na mmeligundua hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…