GENTAMYCINE nahusishwa na Kila Mtu tu maarufu hapa Tanzania na mlichobakiza sasa ni kunihusisha tu Rais Joe Biden wa Marekani.
Wanaonijua vyema, uhalisia wangu na hii ID hasa Mdogo wangu wa Damu kabisa na Member hapa JamiiForums aitwae
steveachi, Jirani yangu
Bujibuji Simba Nyamaume anayewajua hadi Ndugu ( Kaka zangu wa Kizanaki ) na Marafiki zangu Watatu walioko TISS, Wanne walioko JWTZ, Wahadhiri wangu Wawili SAUT Mwanza, Mabosi zangu Watatu wa zamani ( ndani ya Ofisi Moja ) na waliokuwa Watendaji wa Ofisi hiyo wapatao Ishirini ( 20 ) wakiona hii post yako ukisema Mimi GENTAMYCINE ni Haji Manara si tu Watakushangaa bali watakuona ni Mpumbavu mno.
Wengi wenu mnatamani sana Kunijua GENTAMYCINE ila nina uhakika mkiambiwa huyu ( yule ) ndiyo GENTAMYCINE Mfalme wa Mijadala na Masuala Mtambuka JamiiForums hamtoamini kwani ni Mtu Mmoja wa Kawaida mno na najua Kubadilika badilika kulingana na Wakati, Eneo na Watu ninaokuwa nao.
Kiufupi nimebarikiwa Vingi na Mungu.
Cc:
Arovera,
PakiJinja,
Bila bila,
adriz,
Shunie,
cocastic,
Kaka pembe etc