Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

Je, kwa Manara Kuhamia Yanga SC huku aliyekuwa CEO wa Simba SC Barbara nae kuhisiwa kwenda huko, si Uthibitisho kuwa Simba SC ina 'Virusi' wengi?

Kwani haipo?
Kolo ana point 35 ambazo amezipata ndani ya miaka 5,hapo miaka 3 aliokoteza point ndani ya kipindi cha corona,Yanga kapata point 20 ndani ya msimu msimu mmoja na msimu huu tunapiga 20 zingine mtake msitake
 
Umeona kwa waalim hakulipi ?
Naipenda Simba Mshabiki wa Damu.
 
Hiyo Manara lazima aweke fitna babra asije maana anajua anaenda kufukuzwa kazi tena
 
Kolo ana point 35 ambazo amezipata ndani ya miaka 5,hapo miaka 3 aliokoteza point ndani ya kipindi cha corona,Yanga kapata point 20 ndani ya msimu msimu mmoja na msimu huu tunapiga 20 zingine mtake msitake
Points 20 ni uingie fainali Shirikisho, wewe sasa uko Klabu Bingwa na huwezi tena kuangukia Shirikisho.

Sasa kwenye klabu bingwa mwaka huu tulioko (current) kizidishio chake ni 5. Kwa hiyo ili uzipate hizi basi ufike hata nusu fainali yenye points 4 ili ikizidishwa kws 5 zifike 20.

Nusu fainali maana yake ni pale ambako Africa nzima na miamba yote kina Wydad, Al Ahly, Mamelody muwe mumebaki wanne tu ukiwemo wewe.

Nipo nimekaa pale.
 
GENTAMYCINE nahusishwa na Kila Mtu tu maarufu hapa Tanzania na mlichobakiza sasa ni kunihusisha tu Rais Joe Biden wa Marekani.

Wanaonijua vyema, uhalisia wangu na hii ID hasa Mdogo wangu wa Damu kabisa na Member hapa JamiiForums aitwae steveachi, Jirani yangu Bujibuji Simba Nyamaume anayewajua hadi Ndugu ( Kaka zangu wa Kizanaki ) na Marafiki zangu Watatu walioko TISS, Wanne walioko JWTZ, Wahadhiri wangu Wawili SAUT Mwanza, Mabosi zangu Watatu wa zamani ( ndani ya Ofisi Moja ) na waliokuwa Watendaji wa Ofisi hiyo wapatao Ishirini ( 20 ) wakiona hii post yako ukisema Mimi GENTAMYCINE ni Haji Manara si tu Watakushangaa bali watakuona ni Mpumbavu mno.

Wengi wenu mnatamani sana Kunijua GENTAMYCINE ila nina uhakika mkiambiwa huyu ( yule ) ndiyo GENTAMYCINE Mfalme wa Mijadala na Masuala Mtambuka JamiiForums hamtoamini kwani ni Mtu Mmoja wa Kawaida mno na najua Kubadilika badilika kulingana na Wakati, Eneo na Watu ninaokuwa nao.

Kiufupi nimebarikiwa Vingi na Mungu.

Cc: Arovera, PakiJinja, Bila bila, adriz, Shunie, cocastic, Kaka pembe etc
Hawajui kuwa style yako ya uwasilishaji umeitengeneza mahsusi kujitenga na ID yako humu na maisha yako halisi nje ya JF, ili watu wasiweze kuku snoop😃
 
Kwa tabia zako hizi laiti ungekuwa mwanamke basi mmeo angegongewa sana mkewe.
 
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.
Unapenda kudeka wewe mhutu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Simba inawatoa sana wana Yanga angalia hata sasa hivi mseamaji gani ana mvuto kati ya Ahmed Ally na Ali kamwe utagundua Ahmed
Ukiwa Simba kujibrand ni rahisi na watu wa Yanga wanalijua hilo that's why wanakuja kupata umaarufu huku then wanasepa
 
Kama YANGA itamchukua Barbra...nazidi kuaamini kuwa focus na mind za YANGA ni za hapa hapa ..

Ktk modern football si wakati wa style hizi za kufanya mambo kwa ajili tu kufurahisha mashabiki...
Aliachwa, SENZO, MANARA , MORRISON, MKUDE wata wakabeba kishabiki....
Watu wakasubiria CHAMA,ili yafanyike tena ushabiki...
Sasa Mnasema tena Barbra.... unadhani ni jambo la kifundi au kutengeneza story...ndio maendeleo
Senzo aliachwa lini na Simba? Hata Yanga hawajamuacha Senzo, usilazimishe nyeupe iwe kijivu.
 
Huna ulijualo usinipotezee muda Ok?
Hoja zinajibiwa kwa hoja na sio mihemko..

Tunajuwa kama wewe ulikuwa unaongoza kwa kufunguwa nyuzi za kumtukana babra wakati yupo Simba,,

Na sijuwi unajisikiaje kwa sasa ukisikia anakwenda Yanga..

Kweli mchawi hapati faraja akiona anayemchawia anazidi kufanikiwa..
 
Hawajui kuwa style yako ya uwasilishaji umeitengeneza mahsusi kujitenga na ID yako humu na maisha yako halisi nchi ya JF, ili watu wasiweze kuku snoop😃
Ni Wenye Akili Kubwa wachache kama Wewe hapa JamiiForums ndiyo mnalijua na mmeligundua hili.
 
Back
Top Bottom