Huyu mama Mdigo, several times weekly, anaamka usiku saa 10 anaanza kufagia uwanja, tena kwenye giza totoro bila taa, Je tafsiri yake ni nini? Nadhani ana imani na ushirikina fulani. Ebu wadigo please tufafanulie kufagia usiku, tena kwenye giza kuna maana gani? Mnaamini nini katika hilo?
Pili, kukata mit matawi. Yakitokeza tu wanayakata na kuja kwa jirani kutafuta kivuli wakati yeye amekata kivuli cha miti yake. Mnaamini kuna nini kwenye matawi ya miti?
These are my observation kwa ndugu zangu wadigo katika tembea yangu kwao
Mshana Jr nipe maoni yako please