KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
LabdaKwhy anaamua afagie fagie apoteze mida 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LabdaKwhy anaamua afagie fagie apoteze mida 😀
Hawa wamama wamama hawa jau tu mitaaniLabda
Sema fireeeeeeee sema baba uwa! Sema baba piga malizia na fireeeeeeee..🤣Hawa wamama wamama hawa jau tu mitaani
Ooooh ni zaidi ya Fireeeeeee!!!Sema fireeeeeeee sema baba uwa! Sema baba piga malizia na fireeeeeeee..🤣
Tuseme, ukipuuza tu suala hilo, kuna madhara yoyote? Halafu, kuna uhusiano gani kati ya Wadigo na hiki unachoripoti? Umefanya uchunguzi na kugundua Wadigo kadhaa hufanya hayo au ni huyo tu? Ni mazingira yepi yanasababisha wewe kuona hiyo ni tabia ya Wadigo?Huyu mama Mdigo, several times weekly, anaamka usiku saa 10 anaanza kufagia uwanja, tena kwenye giza totoro bila taa, Je tafsiri yake ni nini? Nadhani ana imani na ushirikina fulani.
Ebu wadigo please tufafanulie kufagia usiku, tena kwenye giza kuna maana gani? Mnaamini nini katika hilo?
Pili, kukata mit matawi. Yakitokeza tu wanayakata a kuja kwa jirani kutafuta kivuli wakati yeye amekata kivuli cha miti yake. Mnaamini kuna nini kwenye matawi ya miti?
These are my observation kwa ndugu zangu wadigo katika tembea yangu kwao
Mshana Jr nipe maoni yako please
Huu ni mji wa wadigo, tatizo liko wapi, unahofia nini? Mfano Ukienda Tarime vijijini, wote ni wakurya or at least by 99%, sasa ukisem wanafanya hivi kuna kosa gani? Nataka kujua wana imani gani na kufagia usiku?Tuseme, ukipuuza tu suala hilo, kuna madhara yoyote? Halafu, kuna uhusiano gani kati ya Wadigo na hiki unachoripoti? Umefanya uchunguzi na kugundua Wadigo kadhaa hufanya hayo au ni huyo tu? Ni mazingira yepi yanasababisha wewe kuona hiyo ni tabia ya Wadigo?
Kauli yangu haimaanishi Wadigo hawawezi kuwa hivyo, bali ninahoji uhalali wa wewe kuona Wadigo watatoa majibu kama vile wao wapo hivyo.
Nadhani uko sahihi ingawa mengine umezidisha ka "chumvi"... 😀 😀 😀 😀 Ila Kilinge nimekisikia sana. Kuna Kilinge karibu na shamba langu. Ni kichaka kikubwa kiko kwenye kichuguu. Wenyeji wanaifanya ni sehemu ya kuagulia. wanaweka kuku , vyakula aina mbali mbali. Wanawake wanaogeshwa hapo wakiwa wamejifunga vikanga, ten wanaogoeshwa na wanauume kwa kumwagiwa maji na maneno ambayo siyafahamu.Huu ni udhirikina na anachofagia sio uchafu huu wa kawaida bali kwa imani zao anafagia mambo yote mabaya, kurogwa, nuksi, mikosi nknk...
Matawi hayo ya miti anayokata anaamini yanazuia baraka zake nk.. Lakini pia ni kama kupata clear view ama gateway nzuri wanapopaa
Kwenye ufagizi kama anafanya kwa vipindi fulani tu basi hapo ni mahali pa vikao vyao.. Kufagia kuna tafsiri mbili 1. Masndalizi ya mkutano 2. Mkutano umeshaisha
Mikutano na vikao vyao mara nyingi huambatana na kula nyama za watu na kunywa damu zao
Agenda zao huwa
Changamoto wanazokutana nazo maeneo ya kazi na wanayoishi.. Mfano mikutano ya kidini nk
Usuluhishi kati yao
Kupandishana vyeo
Adhabu mbalimbali
Maonyo
Kupanga zamu za kuleta chakula (nyama na damu)
Kuteua viongozi/kubadilisha viongozi
Mikutano ya kawaida ya mwezi wiki siku nk
Kwenye hayo yote kila eneo(kilinge) lina matumizi yake kwa shughuli husika... Kwa mfano sasa hivi tunapoelekea mwisho wa mwaka ni kipindi pia cha maandalizi ya sherehe za mwaka za wachawi nknk
Yes, kuna watoto wamezaliwa kwenye familia tajiri hawajui hata lugha zao, wanajua Kiswahili, kiingereza na Kifaransa.... nineona na kuishi na familia za namna hiyo. Watoto wamesoma tangu chekechea International ones up to University abroad. Hao wako modernized by western culture na hivyo haya mambo y kimila hawayajui. These can be termed as "modern", "digital" children so to say! all in all kama unakubali kuwa "modern" is associated with Western style of life (kama tunakubaliana na definition hiyo anyway) If you have another definition of modern, I will be interested to note it!Jamii 'modern' Tz?
Come on kijana, yakipigwa makelele nje at those odd hours of night, mtu unayejitambua lazima uamke kujua kuna nini nje, what is going on! simple!Dini yangu ya nguvu za Giza haina upumbavu kama huo. Hizo ni tabia za MTU tu kama ambavyo wewe unaamka usiku kuangalia nani anafagia nje saa 10 ilhali ulitakiwa uwe kazini au umelala.
Mshana Jr naishi na hawa watu, nasema ninachokiona. Leo nimeamka kufanya kazi kwenye computer, mtu anafagia! Giza totoro!Retired sio mchawi namjua .. Na kwakweli si jambo la kawaida kwa mtu kufagia uwanja alfajiri pasipo na mwanga wa kutosha ama kukata matawi ya miti nyimbani kwako na kwenda kutafuta kivuli kwa jirani
mwezi mchanga mtu anayeanza kurukwa na akilimwezi mchanga ni nini? kumchanganyikia ni nini? haya ni maneno ya ushirikina/false beliefs and the like, seems unayajua haya mambo vizuri
Ah kama hivyo sawa.Yes, kuna watoto wamezaliwa kwenye familia tajiri hawajui hata lugha zao, wanajua Kiswahili, kiingereza na Kifaransa.... nineona na kuishi na familia za namna hiyo. Watoto wamesoma tangu chekechea International ones up to University abroad. Hao wako modernized by western culture na hivyo haya mambo y kimila hawayajui. These can be termed as "modern", "digital" children so to say! all in all kama unakubali kuwa "modern" is associated with Western style of life (kama tunakubaliana na definition hiyo anyway) If you have another definition of modern, I will be interested to note it!
Koma ndugu ina tafsiri zaidi ya moja ... Na mojawapo ni maana yake ni kuua ndugu(kuua undugu) hii hutokea pale ndugu wawili wa karibu wa jinsia tofauti wanapopendana kwa kujua ama kwa kutojuaMshana Jr naishi na hawa watu, nasema ninachokiona. Leo nimeamka kufanya kazi kwenye computer, mtu anafagia! Giza totoro!
Kuna ngoma ya mashetani, zinapigwa kila leo naona...... wanachinja mbuzi wanakunywa damu naona..... najichanganya nao, ILA HAWASEMI NINI WANAFANYA MAANA WANAKUJUA KUWA WEWE SI MWENZAO NI WA "KUJA". HAWATAKI UJUE MILA ZAO. Naambiwa na vijana wa humu
Ukimuuliza Msambaa KOMA NDUGU ni nini hawakwambiii! Naomba utafute maana yake nini unijibu hapa rafiki
Nadhani uko sahihi ingawa mengine umezidisha ka "chumvi"... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Ila Kilinge nimekisikia[emoji23]Nadhani uko sahihi ingawa mengine umezidisha ka "chumvi"... 😀 😀 😀 😀 Ila Kilinge nimekisikia sana. Kuna Kilinge karibu na shamba langu. Ni kichaka kikubwa kiko kwenye kichuguu. Wenyeji wanaifanya ni sehemu ya kuagulia. wanaweka kuku , vyakula aina mbali mbali. Wanawake wanaogeshwa hapo wakiwa wamejifunga vikanga, ten wanaogoeshwa na wanauume kwa kumwagiwa maji na maneno ambayo siyafahamu.
Wakiweka kuku nawachukua nakula..... lkn nilikuja kugunda kuwa huyo "mganga huwa anarudi baadaye kuangalia kama kuku bado yupo, anakuta hayupo ...next time ananiomba awahifadhi kwangu kusudi mteja asione kuwa kuku ni wa kula.....
Sasa, huoni kuna tatizo hapo kwenye kuwasilisha? Posti yako ilisema kuwa hapo ni mji kwa Wadigo? Huoni uliacha kigezo muhimu sana katika kisa chako?Huu ni mji wa wadigo, tatizo liko wapi, unahofia nini? Mfano Ukienda Tarime vijijini, wote ni wakurya or at least by 99%, sasa ukisem wanafanya hivi kuna kosa gani? Nataka kujua wana imani gani na kufagia usiku?
Mfano mwingne, Wafanyabiashara kabla ya kuanza biashara say ya duka, anakwenda kwa mganga "kupiga deki" i.e kufukuza mabaya na kukaribsha bahati ya biashara, wanaamini hivyo, sasa kufagia usiku kenye giza kunahusishwa na nini?