Na mimi sikutaka wajinga wawe miongoni mwa kile nimekiita ni Bwana wa mabwana ambaye yeye ndiye astahili kuitwa Bwana wa yoteUyo bwana ni wako pekeako ndugu yangu..usitujumuishe wote
Kila nchi huwa inalinda utajiri wa matajiri wake.Ila inaonekena US inatumika pia kulinda utajiri wa matajiri wake. Mfano tuhumq za Congo Mashariki na vita visivyoisha kuna madini ambayo ni muhimu katika utengemezaji wa Bidhaa za Apple na Iphone. Wao wanaondoa usalama ili wajasiliamali wao wajipatie mali za huko kihuni.
SahihiUongo hiyo youtube unaangalia peke yako?
Channel za kusema vibaya Marekani ziko kibao na hazifutwi
Hata hii ya Maduro ya kuisema vibaya Marekani mbona haijafutwa?
Acha uongo
View: https://youtu.be/rzDcEnQMGt8?si=rH0mf_f5GXaDZ4cv
Bora yeye akichukua tutapewa bando wananchi. Je hawa manyanganyi yetu yanatupa ahueni au ni mitatizo tu alwaysssssssAmani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.
Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.
Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.
Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.
Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?
Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?
Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Kwaiyo mjinga ni yule anaetofautiana nawe kiimani!Na mimi sikutaka wajinga wawe miongoni mwa kile nimekiita ni Bwana wa mabwana ambaye yeye ndiye astahili kuitwa Bwana wa yote
Mtanisamehe ndugu zangu, niliamini wote tunaupeo huo wa kiufahamu kuhusiana na matumizi ya jina hilo mkuu
Hata Congo atakuwa yumo maana wanaitegemea Congo kwaajili ya uzalishaji wa magari yenye kutumia umeme.Amani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.
Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.
Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.
Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.
Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?
Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?
Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Tunaotofautiana ñao kiimani hawawezi kukubaliaña na wewe eti binadamu achukue nafasi ya jina la aliyemuumbaKwaiyo mjinga ni yule anaetofautiana nawe kiimani!
Hayo mengine anayajua mwenyewe.Amani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.
Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.
Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.
Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.
Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?
Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?
Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Tutafute pesa ndugu yangu!Au ndio mpinga kristo huyu..?
KabisaTutafute pesa ndugu yangu!
Mtu kazaliwa South Africa halafu asiijue Tanzania kweli bro? Are u serious? Waafrica wa Africa kusini wanaweza wasiijue Tanzania but not white from SA hasa wa umri wa ElonSasa jamaa saa ngapi anafanya gunduzi zake na saa ngapi anafuatilia mambo imagine kila sehemu na sector yupo hadi kanchii kama tanzania alijibu tweet aliku teyari kuleta internet ila serikali imezingua na uhakika ukimtoa billgate hao matajiri wengine ukiwauliza kuhusu Tanzania siajabu wakashangaa hawaijui kwanza ila mwamba amejibu hadi tweet za Tanzania..
Huo muda anautoa wapi na jana limerusha roket kubwa zaidi duniani toka kuubwa kwa dunia ndio rocket kubwa imerushwa jana .
Au ndio mpinga kristo huyu..?
Weeee kumbe!!!
Huwa nahisi hawa matajiri wamegawana vitengo vya kushughulikia mambo ya Dunia. Bill Gates eyemambo ya tiba, chanjo na kupunguza idadi ya watu dunian, na huyu Musk yeye mambo ya kisiasa na teknolojiaAmani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.
Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.
Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.
Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.
Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?
Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?
Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Elon musk sio kama matajiri ubwabwa wenu hao wanaoishi kwa kutegemea fadhila za kulamba miguu na mikundv vilaza wa ccmHawezi kushindana na watu wote, ataanguka kama walivyoanguka matajiri wengine