Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

Uyo bwana ni wako pekeako ndugu yangu..usitujumuishe wote
Na mimi sikutaka wajinga wawe miongoni mwa kile nimekiita ni Bwana wa mabwana ambaye yeye ndiye astahili kuitwa Bwana wa yote

Mtanisamehe ndugu zangu, niliamini wote tunaupeo huo wa kiufahamu kuhusiana na matumizi ya jina hilo mkuu
 
Ila inaonekena US inatumika pia kulinda utajiri wa matajiri wake. Mfano tuhumq za Congo Mashariki na vita visivyoisha kuna madini ambayo ni muhimu katika utengemezaji wa Bidhaa za Apple na Iphone. Wao wanaondoa usalama ili wajasiliamali wao wajipatie mali za huko kihuni.
Kila nchi huwa inalinda utajiri wa matajiri wake.
 
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.

1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.

Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.

Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.

Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.

Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?

Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?

Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Bora yeye akichukua tutapewa bando wananchi. Je hawa manyanganyi yetu yanatupa ahueni au ni mitatizo tu alwaysssssss
 
Na mimi sikutaka wajinga wawe miongoni mwa kile nimekiita ni Bwana wa mabwana ambaye yeye ndiye astahili kuitwa Bwana wa yote

Mtanisamehe ndugu zangu, niliamini wote tunaupeo huo wa kiufahamu kuhusiana na matumizi ya jina hilo mkuu
Kwaiyo mjinga ni yule anaetofautiana nawe kiimani!
 
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.

1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.

Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.

Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.

Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.

Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?

Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?

Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Hata Congo atakuwa yumo maana wanaitegemea Congo kwaajili ya uzalishaji wa magari yenye kutumia umeme.
 
Hayo mengine anayajua mwenyewe.
Hata angeliruhusiwa kuja kuunganisha internet ya bei poa, kwa Tz ingelifanywa ya bei ghali kama ambavyo umeme wa bei rahisi kutokana na kauli za Serikali yenyewe, lakini umefanywa kuwa ghali kwa ajili ya kunufaisha mifisadi iliyojaa Serikalini.
 
Hili suala nilishatolea ufafanuzi ila watu wamekuwa wabishi sana. Labda wakiambiwa Starlink inaeneza ushoga ndo wataelewa.
 
Sasa jamaa saa ngapi anafanya gunduzi zake na saa ngapi anafuatilia mambo imagine kila sehemu na sector yupo hadi kanchii kama tanzania alijibu tweet aliku teyari kuleta internet ila serikali imezingua na uhakika ukimtoa billgate hao matajiri wengine ukiwauliza kuhusu Tanzania siajabu wakashangaa hawaijui kwanza ila mwamba amejibu hadi tweet za Tanzania..
Huo muda anautoa wapi na jana limerusha roket kubwa zaidi duniani toka kuubwa kwa dunia ndio rocket kubwa imerushwa jana .

Au ndio mpinga kristo huyu..?
Mtu kazaliwa South Africa halafu asiijue Tanzania kweli bro? Are u serious? Waafrica wa Africa kusini wanaweza wasiijue Tanzania but not white from SA hasa wa umri wa Elon
 
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.

1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.

Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.

Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.

Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.

Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?

Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?

Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Huwa nahisi hawa matajiri wamegawana vitengo vya kushughulikia mambo ya Dunia. Bill Gates eyemambo ya tiba, chanjo na kupunguza idadi ya watu dunian, na huyu Musk yeye mambo ya kisiasa na teknolojia
 
Sababu kubwa ya kumzuia huyu mwamba kuwekeza ni kuyalinda makampuni ambayo serikali ya CCM inauswahiba nayo ili yasianguke.Manake bei za Ellon Musk ziko chini. Rejea madhila yaliwapata Eric kabendera na Tundu Lissu. Kuhusu Mazungumzo yao kupewa wasiojulikana. Kampuni za marekani zinaheshimu sheria haziwezi kufanya huu uduanzi 🤔
 
Hawezi kushindana na watu wote, ataanguka kama walivyoanguka matajiri wengine
Elon musk sio kama matajiri ubwabwa wenu hao wanaoishi kwa kutegemea fadhila za kulamba miguu na mikundv vilaza wa ccm
Elon musk ni akili kubwa ile ,na kwa taarifa yako ndio Mtu pekee duniani anayetajwa kuwa atakuwa Trillionaire wa kwanza duniani ndani ya miaka kumi ijayo kutokana na innovations na superb projects anazofanya na ambazo anaendelea kuziibua kila siku

Na hana unafiki kwenye ukweli anapasua makavu hata pale Marekani ,vilaza wale wa Democrats akina sleepy Joe na Yule malaya Kamala na genge lao wanaujua moto wa Elon Musk .Anawapasulia makavu kila siku
We kaa hapo na akili zenu dumavu za zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mazezeta Tanzania

Tanzania nchi ya wapumbavu wakazuia huduma za Starlink ambazo ni reliable Kwa kuwa na coverage kubwa hivyo kusambaza huduma nchi nzima na kasi + bei nafuu kwa watumiaji , wapumbavu Makada wa chama cha maiti CCM ,wakaona anaharibu ulaji wao kwenye hivyo vikampuni vya kipumbavu ambavyo wanamiliki hisa bila kuangalia wide impact kwenye uchumi ambayo ingetokana na huduma za huyo jamaa na Starlink project .
Fools
 
Back
Top Bottom