technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nchi inadaiwa trion 99
Nchi inalipa Deni kwa bilion 700 kila mwezi
Nchi kwa Sasa haina mradi wowote unao-endelea unaotoa ajira kwa watanzania angalau 10000 kwa pamoja!!
Miradi ya TARURA yote imelala wakandarasi wameikimbia
Imagine barabara ya 2km inajengwa Sasa ni mwaka mfano hii ya msongola !!
Miradi iliyosimama yote IPO chini chini ya wageni Sasa unajiuliza Kama serikali inatenga 700 bilion kulipa wakandarasi kwanini miradi inasimama na kusuasua?
Kibaya zaidi wanalipwa wageni yaani wachina na pesa zote kwenda China !!
Tanzania imekuwa failed state? Je tutatoboa Kama nchi??
Hawa ndio wanataka kuendelea mpaka 2030?
Ukiondoa miradi aliyoianzisha Magufuli Kama bwawa la umeme SGR na Daraja la busisi je Kuna mradi gani ambao Samia kaanzisha ambao una multple effect kwenye uchumi wa nchi hii? Mwenye nao anitajie !!
Isitoshe kusema Tanzania kwa Sasa ni Taifa lililokufa Kama unabisha jibu maswali yangu yote!!