kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Ni Sir pong Aliyechangamka...!🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azizi Ki ni kiungo mshambuliaji sio forward number 9 unamlinganishaje na sir pong?Ni Sir pong Aliyechangamka...!🤣🤣
Huyu si ndiyo alimgeuza geuza Inonga kama chapati,kisha akalitungua lile shati ManulaOkay! Kwenye kundi walilokuwemo, pamoja na Simba, aliisaidia timu yake kushika nafasi ya ngapi? Na Simba walishika nafasi ya ngapi?
Mkuu nahisi utakuwa umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha mayele. Haya mambo kwenye mpira yapo. Hakuna timu ambayo imekuwa bora miaka yote hata ungeenda ulaya.Ushamba huo walionao ndo umewafanya mtoke kapa msimu huu bila ata kikombe cha kunywea maji, Na huo ni ushamba unaolipa kama unasajili mchezaji mwenye thamani ndogo kwa bei kubwa na akakupa matokeo chanya kwa 100% basi ni haki yake kununuliwa kwa bei iyo, tofauti na unanunua mchezaji kwa bei ndogo na anakupa matokeo hasi sijui ni nani apo anaekuwa mshamba kati ya hao wawili
Mwaka mzuri aujitokezi kwa kupiga ramli au kwa bahati nasibu mkuu, mwaka mzuri utakuja kama umesajili vizuri na kama umeinvest vya kutosha kwenye jambo husika, Unachokuwa umepanda ndo utavuna ichoicho usitegemee kupanda bangi ukategemea kuvuna mahindi, ukisajili ovyo basi usitegemee miujiza au mazoea ndo yakubebe, kuwa na heshima na waliokuzidi ubora mambo ya chuki, dharau na roho za korosho yatazidi kukuongezea stress tu na wala auwezi kuwapunguzia wala kuwaongezea chochote zaidi ya kuumia tuMkuu nahisi utakuwa umeanza kushabikia mpira kipindi hiki cha mayele. Haya mambo kwenye mpira yapo. Hakuna timu ambayo imekuwa bora miaka yote hata ungeenda ulaya.
Mwaka umekuwa mzuri kwenu mtachukua vikombe lakini siyo kwamba mtakuwa bora miaka yote. Kuna mwaka mtayumba wengine nao watachukua.Na huo ndiyo mpira.