GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Write this in English please....!!Mkuu unahangaika na milioni arobaini ya kwenye stori. Mwenzako popoma yupo katulia zake kijijini kwao Isunga -Chupi bunda vijijini huko anawachora tu hapa jamvini.
Can you write all this in English please?kwa hiyo hela mkuu usihangaike kuja Dar wewe baki nayo huko huko kijijini kwenu bunda, utajenga ghorofa kabisa mkuu..
Kiwanja elfu themanini. urefu na upana unajipimia mwenyewe,.unachomeka mti unakimbia mpaka utakapo choka unachomeka mwingine upana tayari na kwenye urefu unafanya hivyo hivyo...
matofali unatumia ya kuchoma, kwa huko kwenu bunda vijijini matofali ya laki mbili unajenga ghorofa.
Maji unajichotea zako ziwa victoria
Usipokua makini utaishia mikononi mwa al-shabab na ukishaingia hautoki ndo washakurecruit, nenda nchi nyingine na si somalia au Somaliland.aah nkajua umekwama
mm mmeru ndugu yako nipo darisalama kaz za nguvu kwa nguvu zitaniua kqqqmk ndo nimepewa chongo hilo la kazi ya ulinzi somaliland apa natafuta gamba
HahahaMkuu unahangaika na milioni arobaini ya kwenye stori. Mwenzako popoma yupo katulia zake kijijini kwao Isunga -Chupi bunda vijijini huko anawachora tu hapa jamvini.
Nimecheka kwa sauti wallah..!! Dah..!! Haya bwana.Ili baadae nikija Kuumbuka na Kuteseka Maishani 'Bwege Nazi' Wewe na Wenzako mje Kunicheka?