Je, kwa Tsh Milioni 40 tu GENTAMYCINE 'nikijibanabana' naweza Kuitumia Kukamilisha yafuatayo?

Mkuu unahangaika na milioni arobaini ya kwenye stori. Mwenzako popoma yupo katulia zake kijijini kwao Isunga -Chupi bunda vijijini huko anawachora tu hapa jamvini.
Write this in English please....!!
 
kwa hiyo hela mkuu usihangaike kuja Dar wewe baki nayo huko huko kijijini kwenu bunda, utajenga ghorofa kabisa mkuu..

Kiwanja elfu themanini. urefu na upana unajipimia mwenyewe,.unachomeka mti unakimbia mpaka utakapo choka unachomeka mwingine upana tayari na kwenye urefu unafanya hivyo hivyo...

matofali unatumia ya kuchoma, kwa huko kwenu bunda vijijini matofali ya laki mbili unajenga ghorofa.

Maji unajichotea zako ziwa victoria
 
Can you write all this in English please?
 
Uzi mzuri ila mleta uzi mtu wa masikhara watu wana-comment utani utani 🤣. Kwenye ujenzi hakunaga hela kidogo wala nyingi... ni wewe mwenyewe ujipimie tu unachotaka. Kabla hujaanza kujenga jitengenezee BOQ yako kwa kutafuta data zote.
 
U
aah nkajua umekwama
mm mmeru ndugu yako nipo darisalama kaz za nguvu kwa nguvu zitaniua kqqqmk ndo nimepewa chongo hilo la kazi ya ulinzi somaliland apa natafuta gamba
Usipokua makini utaishia mikononi mwa al-shabab na ukishaingia hautoki ndo washakurecruit, nenda nchi nyingine na si somalia au Somaliland.
 
Mkuu unahangaika na milioni arobaini ya kwenye stori. Mwenzako popoma yupo katulia zake kijijini kwao Isunga -Chupi bunda vijijini huko anawachora tu hapa jamvini.
Hahaha
 
Back
Top Bottom