PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawa wazee ndiyo wanapiga kelele vijana wajiajiri wao wanaomba ajira kutoka kwa wananchi.
 
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .

Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
Ukisikia Kuna watu Wana majungu na uchawi ndio kama wewe
 
Binafsi naona angeachia, kwasababu akirudi kama ubunge hawezi tena kuwa PM,jambo ambalo naona litamshushia heshima, lakini kwasababu ni mwanasiasa mara nyingi huwa hawana aibu chamsingi mkono uende kinywani vyovyote vile
Malecela nadhani alirudi akawa mbunge kawaida. Mkuu fame, power and 💰!!! Achana na hivi vitu.
 
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .

Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
Ana umri chini ya hapo mimi kanizidi siku 4
 
Kuna sheria yoyote inamzuia?.Kama hakuna na ametimiza vigezo ni haki yake.Kama unaona ubunge uwe na kikomo toa hoja yenye nguvu ili nchi ipate katiba mpya itakayoweka huo ukomo.Hiyo ndio njia sahihi yakuthibiti ukomo wakutumika kwasababu haitakua utashi wa mtu.Kumbuka siasa ni ajira yenye kula vinono,je ni nani hapendi vinono dunia hii.
 
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .

Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .

Off course ni sawa. Tatizo langu ni tamaa yake ya madaraka. Baada ya miaka 10 kama Waziri Mkuu bado anataka kurudi bungeni kama mbunge wa kawaida maana simuoni akipewa Uwaziri Mkuu tena.
 
Akiwa nje ya system 2030 kwenye urais atapata tabu nahisi ndo maana anataka kubaki km mbunge wa kawaida kujiandaa na urais
 
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .

Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
Anaweza sanaa. Tena huu ndiyo umri kuntu. Unataka awe Stevee Nyerere au Baba Levo
 
Akiwa nje ya system 2030 kwenye urais atapata tabu nahisi ndo maana anataka kubaki km mbunge wa kawaida kujiandaa na urais
2030 atakuwa na miaka 70 huo urais nani atampa?
 
Mimi naona kwa level yake angepumzika huu mwaka arafu 2030 ajekupambania uraisi
 
Umri bado mbona..
Sema kwa heshima tu
Angaachana na ubunge
Humuoni ndugai bungeni yuko
Kimya .... maana hata akichangia
Ni sawa na kujiabisha
Ndugai naye angekaa pembeni tu

Ova
 
Aseeh kumbe jamaa umri umesonga kiaina, hangaiya kachoka masikini mpunga ndo mpango mzima tuu
 
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .

Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
Ametafakari baada ya uzi huu, kaamua kutundika daluga
 
Back
Top Bottom