PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .

Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
Sasa tumefikisha Mawaziri Wakuu wawili waliohudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka kumi kumi!
Tunamkushuru sana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Miaka kumi ameimaliza hana kashfa yoyote!
 
Na kwa kuongezea hapo, pia amehudumu chini ya maraisi wawili tofauti.
 
Back
Top Bottom