Je kwa uzoefu wako, kuoa kunafanyika muda gani?

Je kwa uzoefu wako, kuoa kunafanyika muda gani?

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
6,112
Reaction score
4,540
Kwa uzoefu wangu kutokana na eneo nilikozaliwa na kukulia (Moshi) kuoa kumekuwa kukifanywa mida ya usiku tu.
Makubaliano ya uhamisho wa makazi kwa msichana kwenda kwa mvulana hufikiwa kati ya saa 5 hadi saa 10 za usiku, tofauti na huku mjini DSM ambako kuoa kunaambatana na mwembwe nyingi.
Ikumbukwe kule kijijini hakuna send off wala kitchen party.
Je kwa uzoefu wako kutokana na eneo ulilokulia kuoa/kuolewa kunafanyika muda gani?
Naomba kuwakilisha.

Kwetu kuna kuwowa na kuoa. Unawowa usiku lakini unaoa mchana. Utawowaje mchana nawe uko kazini au shambani? Kuwowa ni sehemu ya kupumzika na hufanyikaga usiku tu. Ukijaribu kuwowa mchana wala hufaidi sana.

Okeee!kumbe kuna tofauti kati ya kuoa na kuwowa eeeh!jamaa zangu walikuwa wanatoa ushahidi jinsi binti alivyobakwa,hakimu akamwambia elezea ilikuwaje?"alimkamata akamuwowa akamuwowa akamuwowa!mpaka akazimia"mahakama ikaangua kicheko.

Kwamba kuwowa sio. . . . Ok.
ImageUploadedByJamiiForums1347452799.105833.jpg

Kwa uzoefu wangu kutokana na eneo nilikozaliwa na kukulia (Moshi) kuoa kumekuwa kukifanywa mida ya usiku tu.
Makubaliano ya uhamisho wa makazi kwa msichana kwenda kwa mvulana hufikiwa kati ya saa 5 hadi saa 10 za usiku, tofauti na huku mjini DSM ambako kuoa kunaambatana na mwembwe nyingi.
Ikumbukwe kule kijijini hakuna send off wala kitchen party.
Je kwa uzoefu wako kutokana na eneo ulilokulia kuoa/kuolewa kunafanyika muda gani?
Naomba kuwakilisha.

we unatoka moshi wapi,wewe umetoka machakani nini mangi aiseee!

Muda mzuri wa kuoa ni kati ya hii hapa

1.Umefanya soo kazini, unajua lazima upewe bahasha ya kaki soon kuwa your services are no longer needed na una demu mwenye secure job hapo the only shot you got ni MARRY YOUR SELF OUT OFKUFULIA kitaa.

2.Unatoka na mtoto wa bosi au director ofisini kwenu, hamad ikatokea chansi ya udirectorr afu unajijua kilaza huwezi kuipata ile chansi  The only shot you got is MARRY YOUR WAY UP TO THE TOP. Hapo bosi babamkwe ataangaikia vyote mpaka upate hio nafasi.

3.Unazeeka huna hata mtoto wa kusingiziwa, kila demu anakuyeyusha, over 20 years of dating na bado hujapata anaekufaa, jst marry anyone coz it doesnt matter, they are all the same anyway! Mbeleni ni vita tu, no matter who u marry!

4.Watu wakianza kukuhisihisi huenda sio riziki its the exact time to tie the knot. Dont think twice, ur reputation is at stake!

5.Umempa mimba mtoto wa Kizito nchini kama IGP, you have no choice neither the time, tangaza tu ndoa, your life depends on it.

6.Unadate na mtoto wa kizito kama IPP, ofcourse lazima umuoe huyo dada bila hivo ukoo wenu utakuhold responsible kwa ukosefu wowote wa hela. Utasikia ungemuoa flani mama angelazwa TMJ sio huku Amana. akifa ni kosa lako.

In conclusion jamii ninayokaa 98% ya ndoa kuna sababu nzito nyuma yake either za kiuchumi, kisiasa, kiusalama.

Kimbori umetoka Kibohehe au Bomang'ombe? mbona sherehe zote za moshi hufanyika mchana km saa 5 hadi saa 8 baadaye sherehe ya vinywaji hasa mbege na vilevi kibao usiku kila mtu anarejea kwake

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom