Kwa uzoefu wangu kutokana na eneo nilikozaliwa na kukulia (Moshi) kuoa kumekuwa kukifanywa mida ya usiku tu.
Makubaliano ya uhamisho wa makazi kwa msichana kwenda kwa mvulana hufikiwa kati ya saa 5 hadi saa 10 za usiku, tofauti na huku mjini DSM ambako kuoa kunaambatana na mwembwe nyingi.
Ikumbukwe kule kijijini hakuna send off wala kitchen party.
Je kwa uzoefu wako kutokana na eneo ulilokulia kuoa/kuolewa kunafanyika muda gani?
Naomba kuwakilisha.