Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

Palac

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2025
Posts
3,775
Reaction score
10,094
Tukiwa tunaianza weekend vyema haswa na utulivu wa hali ya hewa.

Kumekuwa na video mjongeo ikimuonyesha mwanaume mmoja huko Ivory Coast akimtandika bakora mke wake hasa kisa kikiwa ni mwanamke huyo kuchelewa kurudi nyumbani.

NB: Nimeshindwa ipakua hiyo clip, ila nikiipata nitaipandisha hapa
 
Yani mwanamke ni kama mtoto, punda bila mjeledi haendi, mtoto ukimchekea atakuingiza vidole machoni alikadhalika mwanamke

Inatakiwa umtandike akuheshim na anapoongea na wewe aongee Kwa mipaka ajue yupo na nani.
 
huko mikoani hata wakizidisha chumvi kwenye mboga au hata ikiwa ndogo sana kuna jamii wanakula makofi hadi leo hii
Kwa zama hizi mfano tunashuhudia ndoa nyingi zinafungwa kwa bashasha na kuvunjika kwake haichukui muda
 
Yani mwanamke ni kama mtoto, punda bila mjeledi haendi, mtoto ukimchekea atakuingiza vidole machoni alikadhalika mwanamke

Inatakiwa umtandike akuheshim na anapoongea na wewe aongee Kwa mipaka ajue yupo na nani.
Haswaa pindi nakuakua home pale mzee alikua ana mkwaju wake mwenyewe upo nyuma ya mlango alooh ukiskia niletee mkwaju kama sio safari ujue kuna mtu analia sio muda
 
Kuna nchi ilipitisha hiyo sheria ya kuwachapa viboko naomba mtu anikumbushe. Lakin kwa bongo yetu hii ya wanawake micharuko atakubadilikia kuwa you wanted to rape your girl ufungwe. So think thrice before u start the league.
 
Nataman siku moja wanawake wawe frontline kweny hii movement itawasaidia sana wao...
Nowdayz ndoa imekua mkataba wa kitapeli kwa pande zote mbili,kuna rundo la wanawake wanajutia sana kuingia kwenye ndoa
Kabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa 🤔
 
Back
Top Bottom