Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

Mikoa gani?
Acha kukarir issue za gender abuse zimepungua sana hakuna fala sikuhizi
Pasaka hii kuna jamaa kamtembezea kichapo mke wake hadi tukaingilia kati maana alikuwa anampiga hadi anavua anabaki kwenye chupi tu .... kijijini bado ipo sana. Hadi sasa hawajui kabisa kuna dawati la jinsia!
 
Kwanini uhangaike kumpiga Mtu mzima? Kama amekushinda mwache aende kwao au kwa mwingine atakayewezana nae. Simple
 
Mwanamke umpig c mtashikana mashati, na ukicheza anakuua, hii dunia hatar.

Labda maasai ndiyo anapigwa, mimi nakumbuka kuna siku baba alimzaba mama kofi kisa kamjibu vibaya, kilchotokea mama alichukua sufuria alimuekelea baba ya kichwani, baba akazimia.

Tangu siku hiyo naogopa mwanamke, kuliko vita bora tu tuachane.
 
Kabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa 🤔
Wengi wanakua na vikoba wanakua wanatunzana kila inapofika shughuli ya mtu kwahiyo mwingine anaamua kuingia ili kurudishiwa mali zake wengine huingia kwasababu rafiki ake kaingia lakini pia wengine hufika mbali huingia kwenye ndoa kwa lengo la kumkomesha ex wake
 
Pasaka hii kuna jamaa kamtembezea kichapo mke wake hadi tukaingilia kati maana alikuwa anampiga hadi anavua anabaki kwenye chupi tu .... kijijini bado ipo sana. Hadi sasa hawajui kabisa kuna dawati la jinsia!
Lakini kama ikitokea ukimuadhibu kuna dharau utaepukana nazo mbeleni ata mkijakupatana tena
 
Sishabikii suala la unyanyasaji wa wanawake,ila kitendo cha huyo mwanamke kuchelewa kurudi nyumbani inaonesha hajui wajibu na majukumu yake, na huenda labda alionywa mara nyingi hakuelewa mpaka mwanaume akajichukulia sheria mkunoni.
 
Baba kijacho mwanaume nae akikosea apigwe au
Issue za kupigana ni ushamba
 
Back
Top Bottom