Haswaa pindi nakuakua home pale mzee alikua ana mkwaju wake mwenyewe upo nyuma ya mlango alooh ukiskia niletee mkwaju kama sio safari ujue kuna mtu analia sio mudaYani mwanamke ni kama mtoto, punda bila mjeledi haendi, mtoto ukimchekea atakuingiza vidole machoni alikadhalika mwanamke
Inatakiwa umtandike akuheshim na anapoongea na wewe aongee Kwa mipaka ajue yupo na nani.
Wewe wasemaKwanini hapana unaruhusu mipaka I ivunjwe kwa kuogopa jamii itakuona vp
Ndio maana wengine mkizeeka au kupata matatizo mnanyanyaswa ama mnakimbiwa kabisa!Yani mwanamke ni kama mtoto, punda bila mjeledi haendi, mtoto ukimchekea atakuingiza vidole machoni alikadhalika mwanamke
Inatakiwa umtandike akuheshim na anapoongea na wewe aongee Kwa mipaka ajue yupo na nani.
Mikoa gani?huko mikoani hata wakizidisha chumvi kwenye mboga au hata ikiwa ndogo sana kuna jamii wanakula makofi hadi leo hii
nashukuru kwa kukubali kwamba "zimepungua sana" na sio kuishaMikoa gani?
Acha kukarir issue za gender abuse zimepungua sana hakuna fala sikuhizi
Nataman siku moja wanawake wawe frontline kweny hii movement itawasaidia sana wao...KATAA NDOA, Focus on yourself, make your money, and enjoy your life.
Kabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa 🤔Nataman siku moja wanawake wawe frontline kweny hii movement itawasaidia sana wao...
Nowdayz ndoa imekua mkataba wa kitapeli kwa pande zote mbili,kuna rundo la wanawake wanajutia sana kuingia kwenye ndoa