Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Pasaka hii kuna jamaa kamtembezea kichapo mke wake hadi tukaingilia kati maana alikuwa anampiga hadi anavua anabaki kwenye chupi tu .... kijijini bado ipo sana. Hadi sasa hawajui kabisa kuna dawati la jinsia!Mikoa gani?
Acha kukarir issue za gender abuse zimepungua sana hakuna fala sikuhizi
Nadhn ni uoga wa maisha na ile dhana ya kwamba unaheshimika na unakua salama ukiwa na ndoa!!! bado imewakaa vichwanKabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa
Siyo wanawake tu wanaozitaka ndoa, na kuna baadhi ya wanaume, wanaojitambua, (ambao kwao ngono katika ndoa inachukua asilimia 5 tu) wanazitaka ndoa.Kabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa 🤔
Yeah ni kweliSiyo wanawake tu wanaozitaka ndoa, na kuna baadhi ya wanaume, wanaojitambua, (ambao kwao ngono katika ndoa inachukua asilimia 5 tu) wanazitaka ndoa.
Nadhani sio wote wanataka ndoaKabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa 🤔
Wengi wanakua na vikoba wanakua wanatunzana kila inapofika shughuli ya mtu kwahiyo mwingine anaamua kuingia ili kurudishiwa mali zake wengine huingia kwasababu rafiki ake kaingia lakini pia wengine hufika mbali huingia kwenye ndoa kwa lengo la kumkomesha ex wakeKabisa sijuagi wanawake kwanini wanazitaka ndoa 🤔
Lakini kama ikitokea ukimuadhibu kuna dharau utaepukana nazo mbeleni ata mkijakupatana tenaPasaka hii kuna jamaa kamtembezea kichapo mke wake hadi tukaingilia kati maana alikuwa anampiga hadi anavua anabaki kwenye chupi tu .... kijijini bado ipo sana. Hadi sasa hawajui kabisa kuna dawati la jinsia!
Hapana hufanyi kusudi kua fit sio kwa ajili ya mume tu ni vitu vingi vitakua rahisi kwakoThat's the point 👉
Baba kijacho mwanaume nae akikosea apigwe auSishabikii suala la unyanyasaji wa wanawake,ila kitendo cha huyo mwanamke kuchelewa kurudi nyumbani inaonesha hajui wajibu na majukumu yake, na huenda labda alionywa mara nyingi hakuelewa mpaka mwanaume akajichukulia sheria mkunoni.