Je Kwanini CEO wa Simba ajiuzulu Baada ya ujio wa V.A.R?

Je Kwanini CEO wa Simba ajiuzulu Baada ya ujio wa V.A.R?

Sasa wewe unatafuta nini humu kama Jf ya siku hiz ni mbaya!! Si ungekufa nayo tu mkuu, why black people are so much interested to dwell in past??? U guys are sooo obsessed with previous rather now??? Inakusaidia nini kukumbatia kitu that u cant change or controll??

Wewe na wachache wenzio mliobaki mbona hamshushi hizo nondo sasa??

Position ursefl as an agent rather that a victim of change
Yess [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Unadharirisha JF! Huu upuuzi, haushangazwi ukiandikwa na huyo Oscar, au kule FB.
Na nina uhakika kwa % 100 kuwa, hata wewe unajua kuwa kuondoka kwake, hakuna uhusiano hata kidogo na hizo VAR. Lakini kwa vile wewe kila kukicha, unaokoteza lolote la KUIKEJERI Simba, basi takataka zote unazileta hapa JF. UNAIDHARIRISHA JF!
Tatizo R na L
 
Kulikua na thank you yake inakuja kajiona bora ajiongeze kuliko kudhalilikaa
 
Wakuu Je Kuna connection yeyote ya CEO la caf confederation team de Simba ( looser cup team) Imani kajula [emoji23] ya kujiuzuru na ujio wa VAR???

Coz hizi taarifa zote zimekuja Kwa kishindo na Kwa pamoja na kama Zina connection fulan ...coz uwezo wa Mr kajula ulikuwa tia maji tia maji .....haiwezekani CEO anajisifia kuanzisha channel ni mafanikio ya club [emoji32][emoji32]
Maon yangu
Naona kaona ....Kwa ujio wa VAR hii hapa sitoboi Bora nichimbe mapema

NB Je Kuna connection yeyote ya CEO kujiuzuru na ujio wa VAR??View attachment 3043700
Kwa masuala ya uongo uongo nyie na ccm kitu kimoja tu.
 
Wakuu Je Kuna connection yeyote ya CEO la caf confederation team de Simba ( looser cup team) Imani kajula [emoji23] ya kujiuzuru na ujio wa VAR???

Coz hizi taarifa zote zimekuja Kwa kishindo na Kwa pamoja na kama Zina connection fulan ...coz uwezo wa Mr kajula ulikuwa tia maji tia maji .....haiwezekani CEO anajisifia kuanzisha channel ni mafanikio ya club [emoji32][emoji32]
Maon yangu
Naona kaona ....Kwa ujio wa VAR hii hapa sitoboi Bora nichimbe mapema

NB Je Kuna connection yeyote ya CEO kujiuzuru na ujio wa VAR??View attachment 3043700
Hata bila VAR, team Debora Mwenda Talawa bila bila
 
Kwanini uongozi wa utopolo ni feki na hautambulikani..mnaendeshwa na matapeli
Mahakama imeamuru uongozi wote ukiongozwa na baba mungu mtakatifu hersi uondoke madarakani
 
Kwanini uongozi wa utopolo ni feki na hautambulikani..mnaendeshwa na matapeli
Mahakama imeamuru uongozi wote ukiongozwa na baba mungu mtakatifu hersi uondoke madarakani
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom