Point 👉1)Mitindo mibaya ya kimaisha kwenye jamii iliyozalisha tabia hasi zinazopelekea vijana kuwa kwenye hatari ya kupata maradhi
2) Upotoshaji na upotoshwaji katika usambazaji wa taarifa kutokana wepesi wa kusambaza taarifa na tamaa za watu matapeli wanao toa huduma za afya na utimamu wa mwili bila elimu rasmi
3) Uchumi mbaya uliopelekea hali ya kifedha inayopelekea vijana kuzongwa na msongo wa mawazo na fikra ovu dhidi yao
Kubeti , kudanga , shisha , uchawa , kujilinganisha , kutokuwa wavumilivu na mwanzo mdogo.Vyote hivi Mkuu?!
Wanajaribu Kila kitu ambacho zama hizo vilikatazwa...Kizazi Alpha ndo kitakuwa majanga matupu
Ongezeko la watu.Katika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na magonjwa ya uzazi, matatizo ya afya ya akili, matatizo ya kimwili kama vile unene kupindukia, na hata utegemezi wa dawa za kulevya ili kuhimili maisha ya kila siku.
View attachment 3352472
Kwa mfano, mtoto wa kike ambaye bado yupo Sekondari anaweza kuishi na ugonjwa kama Polycystic Ovary Syndrome (PCOS) bila hata kuelewa chanzo chake. Wengine wanakumbwa na changamoto ya ugumba, pamoja na matatizo ya homoni. Wapo watoto wana matatizo ya mfumo wa upumuaji, kiasi kwamba akikimbia dakika 10 pekee mtoto anahema utadhani amekimbia riadha kilomita 42.
View attachment 3352465
Aidha, kuna ongezeko la matatizo ya mfumo wa mkojo (UTI) kwa watoto wa kike, ambayo zamani yalikuwa nadra sana. Vijana wa kiume nao wanapitia magumu kweli – wengi wao wanapigwa na msongo wa mawazo, hali yao ya kujiamini kupungua, na matatizo ya kisaikolojia ambayo hayakuwahi kuonekana kwa wingi kipindi cha nyuma.
View attachment 3352466
Katika kipindi cha vizazi kama Baby Boomers, Generation X (Gen X), pamoja na Millennials (Gen Y) kulikuwa na kiasi kidogo sana cha haya matatizo, ila kuanzia Generation Z (Gen Z) na hiki kizazi cha Generation Alpha kwa hakika kizazi cha Generation Beta kitakuwa ni majanga juu ya majanga.
View attachment 3352468
Wazazi na walezi wengi tunapaswa kujiuliza maswali magumu:
Je kuna nini tofauti kati ya kizazi cha sasa na kile cha miaka ya 1960 hadi 1990?, ni kipi Baby Boomers, Generation X (Gen X) walikifanya mpaka kukawa hakuna kesi na takwimu nyingi za watu wenye matatizo namna hii?
View attachment 3352471
Zamani, ilikuwa nadra sana kusikia mtoto anaumwa magonjwa kama haya. Ilikuwa ni kitu cha ajabu ukisikia mtoto wa fulani anachoma sindano kila mwezi kwa sababu ana hormonal imbalance.
View attachment 3352474
Watoto walikuwa na nguvu, afya nzuri na walikuwa na matumaini makubwa ya maisha. Leo hii, tunashuhudia kizazi kilichojaa hofu, magonjwa, na kutegemea madawa kwa maisha yao ya kila siku. Kuna vijana bila kutumia Ibuprofen, naproxen, diclofenac, etoricoxib, indomethacin pamoja na aspirin maisha yao yatakuwa magumu sana.
View attachment 3352473
Je, ni mabadiliko ya kimazingira? Je, vyakula tunavyokula leo vina athari kiasi gani? Au ni teknolojia, mitindo ya maisha, na msukumo wa kijamii unaochangia haya yote? Je, jamii yetu ina nafasi gani katika kuzuia au kutibu matatizo haya?
Ningependa kusikia kutoka kwako. Je, una maoni gani kuhusu ongezeko hili la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana wa sasa? Je, ni jambo la kawaida kutokana na maendeleo ya dunia au ni tatizo linalopaswa kushughulikiwa kwa dharura?
Changes are inevitableKatika miaka ya hivi karibuni, tumezidi kushuhudia ongezeko kubwa la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana. Kuanzia mwaka 2000 hadi sasa, imekuwa kawaida kusikia watoto na vijana wakikumbwa na magonjwa ya uzazi, matatizo ya afya ya akili, matatizo ya kimwili kama vile unene kupindukia, na hata utegemezi wa dawa za kulevya ili kuhimili maisha ya kila siku.
View attachment 3352472
Kwa mfano, mtoto wa kike ambaye bado yupo Sekondari anaweza kuishi na ugonjwa kama Polycystic Ovary Syndrome (PCOS) bila hata kuelewa chanzo chake. Wengine wanakumbwa na changamoto ya ugumba, pamoja na matatizo ya homoni. Wapo watoto wana matatizo ya mfumo wa upumuaji, kiasi kwamba akikimbia dakika 10 pekee mtoto anahema utadhani amekimbia riadha kilomita 42.
View attachment 3352465
Aidha, kuna ongezeko la matatizo ya mfumo wa mkojo (UTI) kwa watoto wa kike, ambayo zamani yalikuwa nadra sana. Vijana wa kiume nao wanapitia magumu kweli – wengi wao wanapigwa na msongo wa mawazo, hali yao ya kujiamini kupungua, na matatizo ya kisaikolojia ambayo hayakuwahi kuonekana kwa wingi kipindi cha nyuma.
View attachment 3352466
Katika kipindi cha vizazi kama Baby Boomers, Generation X (Gen X), pamoja na Millennials (Gen Y) kulikuwa na kiasi kidogo sana cha haya matatizo, ila kuanzia Generation Z (Gen Z) na hiki kizazi cha Generation Alpha kwa hakika kizazi cha Generation Beta kitakuwa ni majanga juu ya majanga.
View attachment 3352468
Wazazi na walezi wengi tunapaswa kujiuliza maswali magumu:
Je kuna nini tofauti kati ya kizazi cha sasa na kile cha miaka ya 1960 hadi 1990?, ni kipi Baby Boomers, Generation X (Gen X) walikifanya mpaka kukawa hakuna kesi na takwimu nyingi za watu wenye matatizo namna hii?
View attachment 3352471
Zamani, ilikuwa nadra sana kusikia mtoto anaumwa magonjwa kama haya. Ilikuwa ni kitu cha ajabu ukisikia mtoto wa fulani anachoma sindano kila mwezi kwa sababu ana hormonal imbalance.
View attachment 3352474
Watoto walikuwa na nguvu, afya nzuri na walikuwa na matumaini makubwa ya maisha. Leo hii, tunashuhudia kizazi kilichojaa hofu, magonjwa, na kutegemea madawa kwa maisha yao ya kila siku. Kuna vijana bila kutumia Ibuprofen, naproxen, diclofenac, etoricoxib, indomethacin pamoja na aspirin maisha yao yatakuwa magumu sana.
View attachment 3352473
Je, ni mabadiliko ya kimazingira? Je, vyakula tunavyokula leo vina athari kiasi gani? Au ni teknolojia, mitindo ya maisha, na msukumo wa kijamii unaochangia haya yote? Je, jamii yetu ina nafasi gani katika kuzuia au kutibu matatizo haya?
Ningependa kusikia kutoka kwako. Je, una maoni gani kuhusu ongezeko hili la matatizo ya kiafya kwa watoto na vijana wa sasa? Je, ni jambo la kawaida kutokana na maendeleo ya dunia au ni tatizo linalopaswa kushughulikiwa kwa dharura?
Ajenda za Siri ila wewe umeshazijua mtu mweusi akili zeroKwa jicho la kawaida wakati mwingine inaweza kuonekana kama ni janga la kiasili lakini ukishirikisha vyema akili yako na ukawa mfuatiliaji mzuri wa mtiririko wa matukio katika ulimwengu wa leo , utakuja kuona jambo la kushangaza kama sio kustaajabisha.......
Nadhani kuna ajenda za siri zenye nia ovu na mustakabali wa ulimwengu mzima kwa manufaa na maslahi wanayoyafahamu wao wenyewe
Inatumika gharama kubwa na nguvu kubwa kusukumwa kwa ajenda zenye mrengo wa kubomoa na kuharibu jamii kuliko zenye kujenga na kustawisha jamii
Ukija kwenye sekta ya kilimo kwenye mashirika au NGO zinazohamasisha kilimo cha kisasa na mbegu mfu wafadhili wakubwa ni hao tunaowaita wastaarabu....mpaka wakulima wanagawiwa mbolea bure na mbegu bure.....
Mazao yanayo leta madhara na athari kubwa kiafya ndio yanapigiwa chapuo kwenye masoko kutoka na udogo wa bei na wingi wake
Kwenye masuala ya chanjo na harakati za uzazi wa mpango kuna msururu wa mashirika ya kimataifa yanayosimamia mashirika hayo kifedha huku wao huduma hizo wakizitoa bure au kwa gharama za Sawa na bure......
Hainiingii akilini kuwa madawa, chanjo na mbolea vitu ambavyo wametumia gharama kubwa kwenye researches na production kwa mamilioni ya dola alafu wao waje huku watugawie bure......
Kwa bahati mbaya vijana wetu wamejikuta wamekuwa victims kwenye ulimwengu wa watu wenye roho za kishetani waliodhamiria kuuangamiza kwa tamaa zao za fedha na mali.....
Siwezi kuwalaumu vijana moja kwa moja kwani najua tunaishi kwenye ulimwengu mgumu Sana....
AsanteAjenda za Siri ila wewe umeshazijua mtu mweusi akili zero
Mkuu bangi haileti tatizo lolote la kiafya na hutibu matatizo mengiPombe, bangi ,mirungi ,p2 miso, vyakula , social media, stress za pesa , mapenzi ya mchongo.