Je, kwanini kizazi cha leo kinakumbwa na changamoto za kiafya za kutisha?

Yote hayo mliosema kama hakuna MALEZI Bora Kwa watoto Dunia haitawaacha salama hao watoto Bora hata nimezaliwa miaka ya 90' maana ningekua kwenye kizaz Cha ajabu ajab
 
Vyakula vinasabbaisha hayo matatizo kwa kiasi kikubwa sana, leo hii wazazi na watoto wengi wanaoishi Mjini hawawezi kupata natural food, wengi hupitia super market kuchukua vyakula vilivyosindikwa. Leo hii kupata kuku wa kienyeji mjini huko ni gharama kubwa mno and nobody cares
Tumebadilisha mno staili ya maisha, lazima yaje kugharamia watoto wa leo na wa mbeleni huko.

Mbaya zaidi wamama wa sikuhizi hawanyonyeshi watoto wao, makuzi ya mtoto yanabakia kwa vyakula vya packages. Ni naona tunakosea sana na sidhani kama kuna reverse ya haya mambo, ni kumwachia Mungu tu asaidie
 
Gen Alpha tutaona majanga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…