Je, Kwanini mechi ya Yanga na Mamelodi ni gumzo zaidi hapa Afrika?

Waache kuzungumzia mechi wanayokutana bingwa mtetezi na timu inayoshika nafasi ya tano kwenye ranking za Caf wake wazungumzie mechi ya utopolo.
Ndo hivyo mkuu... mechi ya Yanga na mamelodi ndio habari ya mujini
 
Sasa upoteze muda kujadili mechi ya Simba vs Alahal?
Hapo mshindi kesha julikana ni nani, hivyo itakua kupoteza muda kuijadili mechi hiyo.
Al ahly atamkanda kolo wizard [emoji113]
 
AFRIKA au TANZANIA tena DAR?
 
Yanga tunaweza pigwa na kitu kizito chenye ncha kali, tuombee hilo lisitokee. Hilo likitokea sijui nitajifichia wapi
Mamelodi nao wanaweza pigwa kitu kizito
 

Next week tunamkanda Mamelody 3 bila kama kasimama

Hamtoamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…