Je, Kwanini mechi ya Yanga na Mamelodi ni gumzo zaidi hapa Afrika?

Waache kuzungumzia mechi wanayokutana bingwa mtetezi na timu inayoshika nafasi ya tano kwenye ranking za Caf wake wazungumzie mechi ya utopolo.
Ndo hivyo mkuu... mechi ya Yanga na mamelodi ndio habari ya mujini
 
Sasa upoteze muda kujadili mechi ya Simba vs Alahal?
Hapo mshindi kesha julikana ni nani, hivyo itakua kupoteza muda kuijadili mechi hiyo.
Al ahly atamkanda kolo wizard [emoji113]
 
Nimefanya utafiti Baada ya droo za CAFCL kutoka tarehe 12 na nimepata kugundua kuwa mechi ya Yanga na mamelodi ndio mechi inayoteka hisia zaidi kuliko Even mechi zote ......

Makolo pia wameendelea kuingia kwenye mfumo wa Yanga Kwa kuzungumzia mechi hii zaidi ....huku wengine wakisahau yao

Takwimu: Kwenye Kila wa Tanzania 10, 7 kati yao wanaizungumzia Yanga zaidi.

Je tatizo ni ukubwa wa hizi timu, playing style zake?

View attachment 2939896
AFRIKA au TANZANIA tena DAR?
 
Next week tunamkanda Mamelody 3 bila kama kasimama

Hamtoamini
 
Back
Top Bottom