Je, kwanini ni ngumu kwa Nyoka kuwa ng'ata watoto wadogo?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,040
Reaction score
33,028
Kuna clips nyingi Mitandaoni huonesha watoto wadogo wakichezea kiumbe hatari aka Mr snake iwe koboko au wengine mara nyingi watoto wanakuwa unharmed na hao Nyoka. Je, sababu ni nini?

Haya ni baadhi ya majibu yasiyo rasmi

Nyoka anakudhuru kwa harufu unayoitoa unaposhikwa woga ambayo yeye anajua tayari huyu ni adui mbona amestuka sasa mtoto hatoi hiyo harufu maana hakuna yoga ndani yake wakati huo anaona ni rafiki wa kucheza nae

Eeeeh sina uhakika sana!!

Je kisayansi hii Ina maanisha nini?

Screenshot_20250619-170635.jpg
 
Mwaka 2000 wanafamilia tulipatwa na hofu mara baada ya kumuona mdogo wetu aliyekuwa na umri wa miaka 2 akimshika kobra('Nyamwilu' kwa kihehe),kisha kumvuta mkia huku akisema "Mama inzagala yigenda" kwa tafsiri ya Kiswahili kisicho fasaha ni "Mama kuni inatembea".
Babu yetu akatuambia msimsogelee hawezi kumdhuru. Na mwishowe yule nyoka aliishia kumnusa tu na kutokomea porini.
 
Sio kweli inategemea kama mtoto atamshambulia nyoka, sikuzote nyoka mashambulizi yake ni kwa adui na mawindo ya chakula haijalishi ni nani.

Nyoka anaweza kushambulia yoyote yule hana formula kwamba ni mtoto au mtu mzima inategemea na aina ya nyoka, mazingira, na vitisho vya mtu kwa nyoka.

Asante sana
 
Siamini shuhuda zenu hata kidogo.
Ninachofahamu ni kuhusu wanyama wafugwao km vile mbwa,ng'ombe hawa kama ni wa nyumbani hawezi mtenda kitu ikbaya mtoto mdogo.

Mfano ng'ombe mwenye mtoto hata awe mkali vipi kwa mtoto wake,akikuta mtoto wa mdogo wa binadamu yuko karibu na ndama hamfanyi chochote.

Mbwa mwenye watoto pia vivyohivyo.
Paka mkali pia akivutwa mkia na mtoto mdogo wa binadamu hamfanyi kiti hasa kama ni wa hapo nyumbani. Kwa nyoka sifanyi mzaha huo mimi.
 
Kuna clips nyingi Mitandaoni huonyesha watoto wadogo wakichezea kiumbe hatari .....aka Mr snake iwe koboko au wengine mara nyingi watoto wanakuwa unharmed na hao Nyoka Je sababu

Haya ni baadhi ya majibu yasiyo rasmi
"Nyoka anakudhuru kwa harufu unayoitoa unaposhikwa woga ambayo yeye anajua tayari huyu ni adui mbona amestuka sasa mtoto hatoi hiyo harufu maana hakuna yoga ndani yake wakati huo anaona ni rafiki wa kucheza nae[emoji54] eeeeh sina uhakika sana"
Je kisayansi hii Ina maanisha nn???View attachment 3375969

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Siyo kweli kwamba nyoka haumi watoto, na clips unazoona nyingi ni za pet snakes (nyoka wa kufuga) wasiouma au za kutengeza. Ila unatakiwa kujua hili kuhusu nyoka. Nyoka siyo wachokozi. Nyoka karibu wote huogopa binadamu na wanapokutana na binadamu jambo la kwanza ni kukimbia. Nyoka atang'ata pale tu anapohisi yuko kwenye hatari, hivyo anajitetea. Kwa hiyo mtoto mdogo akimfuta nyoka ambaye yuko sehemu ambayo hawezi kukimbia, anaweza kumdhuru au hata akimkanyaga au kumshika.
 
Sio kweli inategemea kama mtoto atamshambulia nyoka, sikuzote nyoka mashambulizi yake ni kwa adui na mawindo ya chakula haijalishi ni nani.

Nyoka anaweza kushambulia yoyote yule hana formula kwamba ni mtoto au mtu mzima inategemea na aina ya nyoka, mazingira, na vitisho vya mtu kwa nyoka.

Asante sana
Mimi mdogo wangu alikuwa anamvuta kwa fujo akidhani ni kuni lakini yule nyoka alikuwa anageuka kumuangalia kisha anaongeza mwendo kukimbilia porini. Hii imekaaje?
 
Mwaka 2000 wanafamilia tulipatwa na hofu mara baada ya kumuona mdogo wetu aliyekuwa na umri wa miaka 2 akimshika kobra('Nyamwilu' kwa kihehe),kisha kumvuta mkia huku akisema "Mama inzagala yigenda" kwa tafsiri ya Kiswahili kisicho fasaha ni "Mama kuni inatembea".
Babu yetu akatuambia msimsogelee hawezi kumdhuru. Na mwishowe yule nyoka aliishia kumnusa tu na kutokomea porini.
Haa, budesi!
 
Siamini shuhuda zenu hata kidogo.
Ninachofahamu ni kuhusu wanyama wafugwao km vile mbwa,ng'ombe hawa kama ni wa nyumbani hawezi mtenda kitu ikbaya mtoto mdogo.

Mfano ng'ombe mwenye mtoto hata awe mkali vipi kwa mtoto wake,akikuta mtoto wa mdogo wa binadamu yuko karibu na ndama hamfanyi chochote.

Mbwa mwenye watoto pia vivyohivyo.
Paka mkali pia akivutwa mkia na mtoto mdogo wa binadamu hamfanyi kiti hasa kama ni wa hapo nyumbani. Kwa nyoka sifanyi mzaha huo mimi.
So negative, inategemea na mazingira mkuu huwezo wa kushambulia wanadamu inategemea yani usikalili wale bado ni wanyama sio binadamu.
 
Siyo kweli kwamba nyoka haumi watoto, na clips unazoona nyingi ni za pet snakes (nyoka wa kufuga) wasiouma au za kutengeza. Ila unatakiwa kujua hili kuhusu nyoka. Nyoka siyo wachokozi. Nyoka karibu wote huogopa binadamu na wanapokutana na binadamu jambo la kwanza ni kukimbia. Nyoka atang'ata pale tu anapohisi yuko kwenye hatari, hivyo anajitetea. Kwa hiyo mtoto mdogo akimfuta nyoka ambaye yuko sehemu ambayo hawezi kukimbia, anaweza kumdhuru au hata akimkanyaga au kumshika.
Aloo yani ukutane na Black Mamba halafu akimbie au king cobra?
 
Siamini shuhuda zenu hata kidogo.
Ninachofahamu ni kuhusu wanyama wafugwao km vile mbwa,ng'ombe hawa kama ni wa nyumbani hawezi mtenda kitu ikbaya mtoto mdogo.

Mfano ng'ombe mwenye mtoto hata awe mkali vipi kwa mtoto wake,akikuta mtoto wa mdogo wa binadamu yuko karibu na ndama hamfanyi chochote.

Mbwa mwenye watoto pia vivyohivyo.
Paka mkali pia akivutwa mkia na mtoto mdogo wa binadamu hamfanyi kiti hasa kama ni wa hapo nyumbani. Kwa nyoka sifanyi mzaha huo mimi.
Nikiwa mdogo paka wameshanikwaruza sana kwa sababu ya kuwachokoza.
 
Back
Top Bottom