Je kwanini Simba imemsajili kocha aliyeshinda loser cup

Halafu itabidi ukanifafanulie hili suala la viatu b... umelikomaliaga sana, huwa sielewi like how?
Mlifungwa goli la pili kwa kosa la Kibwana kuteleza kutokana na viatu kutohimili ile hali ya mvua.

Mlikosa bao dakika za mwisho baada ya Morrison kuteleza wakati akijiandaa kufunga.

Wenzenu walikuwa na viatu Sahihi kwa ile hali ya hewa, ndiyo maana mvua haikuwasumbua kabisa.

Ova
 
Mlifungwa goli la pili kwa kosa la Kibwana kuteleza kutokana na viatu kutohimili ile hali ya mvua.

Mlikosa bao dakika za mwisho baada ya Morrison kuteleza wakati akijiandaa kufunga.

Wenzenu walikuwa na viatu Sabahi kwa ile hali ya hewa, ndiyo maana mvua haikuwasumbua kabisa.

Ova
Mhhhhh b... kwa hili hapana, sikubaliani na wewe.

Haikuwa bahati yetu tu, kama kuteleza nao waliteleza mbona? Kibwana alifanya makosa mengi, alizidiwa sana na wale Waarabu.
Nilikasirika kwa Nabi kutokuanza na Pro Lomalisa badala yake akamchagua Kibwana ambaye alishawekwa benchi na Lomalisa kwa kipindi kirefu.
 
Nitakutafutia clip za mabao yote nikufafanulie hatua kwa hatua, utanielewa tu. Ile mechi Yanga ilipoteza kwa mvua tu.

Nakataaaaaa b..., kocha alizingua kupanga kikosi kwanza, Pili hatukuwa mchezoni kila mchezaji alicheza chini ya kiwango ukumbuke pengo la Aucho lilitutesa pia.

B... Nilikuwa uwanjani tena kwenye view nzuri sana, kila angle niliona kila kilichojiri kwa uchungu.

Shukuru 'hukuwepo' wakati ule, ile siku ungepata shida sana. Niliumia mnoooo! Wiki nzima!
 
Sasa hiyo chini ya kiwango, haikuja tu b...

Ova
 
Ndio maana Yanga hamna akili
20231130_100412.jpg

Bado hamjsema ya hapo baado
 
Hajaletwa kwa sababu ya mafanikio yake kwenye kombe la losers bali kwa kuchukua Super Cup mara mbili mfululizo na mwishoni mwa msimu huu anabeba tena SC akiwa na mnyama.

Pia kumbuka na usishangae katika tuzo za CAF atatajwa kama kocha wa Simba ingawa nadhani atakayeshinda ni Regragui.
 
Mlioseosema ni loser cup ni nyie wenyewe baada ya kukosa kulishiriki kwa miaka na mikaka, mlipopata nafasi mkapagawa tukawakumbusha maneno yenu, mkala matapishi yenu mpk mkatoboa nusu fainali.
Unadhani wanakumbuka basii?
 
Hajaletwa kwa sababu ya mafanikio yake kwenye kombe la losers bali kwa kuchukua Super Cup mara mbili mfululizo na mwishoni mwa msimu huu anabeba tena SC akiwa na mnyama.

Pia kumbuka na usishangae katika tuzo za CAF atatajwa kama kocha wa Simba ingawa nadhani atakayeshinda ni Regragui.
Simba hii ya kina onana?
 
Sio shirikisho tu kachukua mpaka super cup mbona hyo hujaitaja bwana utopongo,,sambamba na kukupa kichapo kwa mkapa mbele ya mashabiki wenu wa utopongo
 
Back
Top Bottom