Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ni baada ya kumfunga Bingwa wa vilabu vyote Barani Afrika eti!! Yaani Bingwa wa vilabu vyote Barani Afrika, alifungwa na Bingwa kutoka Kombe la Losers!!!Kumbe Super cup imechukulliwa na timu kutoka loser cup ilikuaje? leta uchambuzi