Mlifungwa goli la pili kwa kosa la Kibwana kuteleza kutokana na viatu kutohimili ile hali ya mvua.Halafu itabidi ukanifafanulie hili suala la viatu b... umelikomaliaga sana, huwa sielewi like how?
Mhhhhh b... kwa hili hapana, sikubaliani na wewe.Mlifungwa goli la pili kwa kosa la Kibwana kuteleza kutokana na viatu kutohimili ile hali ya mvua.
Mlikosa bao dakika za mwisho baada ya Morrison kuteleza wakati akijiandaa kufunga.
Wenzenu walikuwa na viatu Sabahi kwa ile hali ya hewa, ndiyo maana mvua haikuwasumbua kabisa.
Ova
Nitakutafutia clip za mabao yote nikufafanulie hatua kwa hatua, utanielewa tu. Ile mechi Yanga ilipoteza kwa mvua tu.Mhhhhh b... kwa hili hapana, sikubaliani na wewe.
Haikuwa bahati yetu tu, kama kuteleza nao waliteleza mbona? Kibwana alifanya makosa mengi, alizidiwa sana na wale Waarabu.
Nilikasirika kwa Nabi kutokuanza na Pro Lomalisa badala yake akamchagua Kibwana ambaye alishawekwa benchi na Lomalisa kwa kipindi kirefu.
Nakataaaaaa b..., kocha alizingua kupanga kikosi kwanza, Pili hatukuwa mchezoni kila mchezaji alicheza chini ya kiwango ukumbuke pengo la Aucho lilitutesa pia.Nitakutafutia clip za mabao yote nikufafanulie hatua kwa hatua, utanielewa tu. Ile mechi Yanga ilipoteza kwa mvua tu.
Ova
Sasa hiyo chini ya kiwango, haikuja tu b...Nakataaaaaa b..., kocha alizingua kupanga kikosi kwanza, Pili hatukuwa mchezoni kila mchezaji alicheza chini ya kiwango ukumbuke pengo la Aucho lilitutesa pia.
B... Nilikuwa uwanjani tena kwenye view nzuri sana, kila angle niliona kila kilichojiri kwa uchungu.
Shukuru 'hukuwepo' wakati ule, ile siku ungepata shida sana. Niliumia mnoooo! Wiki nzima!
Unadhani wanakumbuka basii?Mlioseosema ni loser cup ni nyie wenyewe baada ya kukosa kulishiriki kwa miaka na mikaka, mlipopata nafasi mkapagawa tukawakumbusha maneno yenu, mkala matapishi yenu mpk mkatoboa nusu fainali.
Simba hii ya kina onana?Hajaletwa kwa sababu ya mafanikio yake kwenye kombe la losers bali kwa kuchukua Super Cup mara mbili mfululizo na mwishoni mwa msimu huu anabeba tena SC akiwa na mnyama.
Pia kumbuka na usishangae katika tuzo za CAF atatajwa kama kocha wa Simba ingawa nadhani atakayeshinda ni Regragui.
Kumbe Super cup imechukulliwa na timu kutoka loser cup ilikuaje? leta uchambuziSio shirikisho tu kachukua mpaka super cup mbona hyo hujaitaja bwana utopongo,,sambamba na kukupa kichapo kwa mkapa mbele ya mashabiki wenu wa utopongo
Simba ikivuka hatua ya makundi, basi nitaungana na Wydad Casablanca kuamini uwepo wa juju kwenye mashindano ya mwaka huu.Na mwaka huu haiwezekani,aahaaa