Ni baada ya kumfunga Bingwa wa vilabu vyote Barani Afrika eti!! Yaani Bingwa wa vilabu vyote Barani Afrika, alifungwa na Bingwa kutoka Kombe la Losers!!!Kumbe Super cup imechukulliwa na timu kutoka loser cup ilikuaje? leta uchambuzi
AahaaaNi baada ya kumfunga Bingwa wa vilabu vyote Barani Afrika eti!! Yaani Bingwa wa vilabu vyote Barani Afrika, alifungwa na Bingwa kutoka Kombe la Losers!!!
Kwani manara lile pilau lake unalo mkuu?nitumie tugawane dhambi...NB: Je benchika na bongo zozo ni ndugu? Mbona wanafanana Anauliza manara
View attachment 2834661