Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii?

Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii?

Nmechanja dozi moja ya synopham nasubiri kumalizia baada ya 21 days...sijapata reaction yeyote.

Duh sikutegemea na wewe pia kuna tutaongea lugha moja, hii dunia bana.
 
Hehehe!! Kama naona Gwajiboy akichanja hivi karibuni, ni vyema mumeanza kuitikia wito.
BRT inaendeleaje lakini..vp zile train za diesel milango inafunguka sasa hv?
 
Back
Top Bottom