Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Ni kwa vile walimkanda goli 5 Simba na juzi wakicheza li mpira la hovyo haijapata kutokea!
 
Mbna unafoka mkuu[emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Simple, hawana akili.
 
Utofauti wa kimalengo, simba ni kubwa sana kuliko yanga ndo maana kudraw wao wanaona ni matokeo mabaya ila kwa timu ndogo kama utopolo pamoja na kubondwa ila wanaona poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…